Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Huu ni mwanzo mzuri sana. Pamoja na kuwa tupo kwenye giza totoro, ila kuna ishara kubwa sana ya mwanga mkuu huko mbeleniDisturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania to investigate and prosecute those who have violated human rights.
No one violated human rights! Except those who had boms wanted to bom innocent people in Zanzibar!Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania to investigate and prosecute those who have violated human rights.
Karibu sana, any new news?Huu ni mwanzo mzuri sana. Pamoja na kuwa tupo kwenye giza totoro, ila kuna ishara kubwa sana ya mwanga mkuu huko mbeleni
Mkuu mbona unashindwa kumtofautisha mtanzania na mwana CCMMgejitenga na kauli hizi za hao jamaa! Ingewasaidia sana Kisiasa kiasi cha baadhi ya watanzania kurejesha imani yao kwenu. Lakini kadri mnavyozidi kujihusisha na matamko ya jamaa hawa ndiyo mnazidi kuwachefua watanzania!
You will see many. Just wait and seeKaribu sana, any new news?
Mkuu ndo ishapita hiyo hawa baada ya miezi miwili utasikia wametupa misaada.Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania to investigate and prosecute those who have violated human rights.
Hakuna kitu hapo labda kibeberu hukijui. Ni serikali ya Tanzania inayoombwa na Ubalozi wa Canada ichunguze ndiyo maana imeshaanza kuchunguza na kuwakamata wakina Jussa pamoja na kundi lake la vijana 33 pale hotelini wakiwa na mabomu wakitaka kuumiza wazanazibar. Sasa wewe usiyejua kitu unabwabwaja tuu. Jitokeze tarehe 02/11/2020 uone cha moto.Huu ni mwanzo mzuri sana. Pamoja na kuwa tupo kwenye giza totoro, ila kuna ishara kubwa sana ya mwanga mkuu huko mbeleni
Unasubiriwa kwa hamu sana! I am wondering if even on Monday you will be avalable here JF.Dunia nzima hakunaga Mabadiliko yaliyowahi kuletwa na Watu Wengi
1. Wakati wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini ni watu wachache sana wenye ujasiri walioongoza harakati zile. Wengi wakiwemo waliokuwa wanafanya kazi kwenye mashamba na makampuni ya wazungu waliona sio sawa na walipinga harakati za kina Mandela na Walter Sisulu. Wengi...www.jamiiforums.com
Worry not. Jiandae tu kunipiga risasi. NimejitoleaUnasubiriwa kwa hamu sana! I am wondering if even on Monday you will be avalable here JF.
I'm waiting but open you are eyes bro,matatizo/changamoto tunazopitia sio sababu ya kukumbatia hao watu ambao historia yao ni unyang'anyi.You will see many. Just wait and see
Huna lolote wewe utapigwa Kerebu moja tu nani apoteze risasi bure kwa bwege kama wewe?Worry not. Jiandae tu kunipiga risasi. Nimejitolea
Wapi mkuu?I'm waiting but open you are eyes bro,matatizo/changamoto tunazopitia sio sababu ya kukumbatia hao watu ambao historia yao ni unyang'anyi.
Hakuna shida. Nimesema nimejiandaa kwa risasiHuna lolote wewe utakigwa Kerebu tu nani apoteze risasi bure kwa bwege kama wewe?
Hiyo sirikali inaanzaje kujichunguza?Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania to investigate and prosecute those who have violated human rights.
Wewe au mtu yeyote anaeifahamu historia Canada naomba anielimishe.Wapi mkuu?
Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania to investigate and prosecute those who have violated human rights.
Mtahangaika sana lakini watz wameshawakataa. Na observers wameshasema uchaguzi ulikuwa huru na haki sasa nani atakuja na kusema haukuwa huru na haki wakati amekaa kwa mabeberu?Solution ni kutoitambua tu hii Serikali haramu iliyoingia madarakani kwa kubaka demokrasi na kutumia mtutu wa bunduki, mabomu, tume FAKE, wizi kura FAKE na polisiccm pia Jumuiya ya Kimataifa iweke vikwazo vya kiuchumi kama vile vya Zimbabwe au zaidi.
Madikteta huwa hawajali chochote mpaka pale wanapobanwa mbavu kwa nguvu zote na uchumi wa Nchi zao kuanguka kwa kishindo.
ngoja uone MTU atakavyominywa kisawasawa ,anafikiri anaweza akafanya lolote .Viongozi wa kitaifa wanenda kuingia katika ile list ya watu wasiokubaliwa kuingia Ulaya na marekani, Muda utatupa majibu
Hata mataifa mengine yakitutenga Burundi ipo hawezitutenga!Magu atengwe kimataifa.