Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Jamaa ana mzaha mwingi huyu, ndugu yangu alifariki kwa ushauri huu wa kipuuzi alikua ana tumia dawa kwa mda mrefu afya yake ilikua nzuri akaja kukutana na hawa makanjanja wakamjaza maneno ya uongo aka acha kutumia dawa haikupita miezi 6 tukazika
Kwa kweli za kuambiwa changanya na zako
 
Dahh.. Huu uzi ushanikata maini leo tena nina ghairi show[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haya mambo bhana.. Ukizingatia leo ni jpili acha niwe mpole.
 
M
 
Sawa mkuu asante!

Mosi, je mtu mwenye HIV akimeza ARV ni anakuwa anajisikiaje? I mean anakuwa normal tu kama kawaida au kuna anavyojisikia mwilini?

Pili, kwanini Wagonjwa wa HIV hawapendi hivi vidonge?
Kuna Daktar kajibu maswali hapo juu.

ARV kwa miezi mitatu yakwanza Lazima utaomba Pooo na kama huli chakula cha kutosha na chenye lishe , utaacha kutumia.
Watu hawa wanalalamika Uchovu usokua wa wa kawaida, ndoto za ajabu ajabu, kukosa usingizi, kutapika, kuharisha ,kichefu kisichokawaida,, kutoka na rashes mwilin, kuwaka moto miguuu , baadhi ya viungo kua na ganzi n.k .. haya ni baadhi ya madhira madogo madogo,, na mtu anapokutwa nahaya kiasi chakuhatarisha Maisha yake, huwa anabadilishiwa dawa .

2... Mkuu, Kumeza dawa kila siku sio jambo dogo, hawa watu huwa wanajinyanyapa wenyewe, niwatu walokata tamaa, ndio maana wanahitaji msaada mkubwa sanaa , sababu zipo nyingi zakwann wanakataa dawa, sababu za mgonjwa mwenyewe, sababu zilizotokana na utumiaji wa dawa kiasi kwamba mtu anaamua tu kuacha.

Na Mtu aliyeanza kunywa dawa, akiacha tu , anaondoka mapema .
 
Kila mtu ashinde mechi zake,,,kuna watu wanajiona wako smart kuliko dunia nzima na miongoni mwao ni kama huyo so mmpe muda kuna siku ataleta ushuhuda hapa.

Usitumie muda wako kubishana ili ajifunze lazima ashuhudie.
 
Nimemwambia huyo jamaa kwamba kama HiV hayupo aende pale ambiance nimwonyeshe mala.ya mwenye ngwengwe aende akapige kavu kavu tuone kama atakubal..hao watu wanaoongeaga sana ndo waoga ajabu
 
Duuuuh mbona mateso makubwa haya?
 
Tatzo utamu kaka...sio kwamba wanapenda.tatzo utamu
 
Mtaalamu umeelezea vizuri lakini napingana na wewe kwenye hoja zako,ni kweli PCR inapima viral load yaan idadi ya virus tu lakini kama ukitaka kumuona kirus mwenyewe anaonekana kwa kutumia electronic microscope,kwa hiyo kirusi kikiingia mwilini kinashambulia white blood cells ambazo zipo response kwa ajili ya kupambana na magonjwa,
Kwanini unakubali malaria ipo afu unakataa HIV??

Kwa hoja zako hauna tofauti ukisema malaria haiui Bali inasababisha anemia ,anemia ndo husababisha kifo,both malaria na ukimwi ni factor for death indirectly

California love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…