Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Unazungumzia kwenda kavu tu ? Kuna watu wamekuwa injected HIV positive Blood ili kuprove Hilo unalosema na hakuna lolote lilitokea ... Bahati mbaya uko nyuma ya taarifa ... Go and search unadhani hayo maswali yako ndio Mara ya kwanza kuulizwa.Nimemwambia huyo jamaa kwamba kama HiV hayupo aende pale ambiance nimwonyeshe mala.ya mwenye ngwengwe aende akapige kavu kavu tuone kama atakubal..hao watu wanaoongeaga sana ndo waoga ajabu
Hilo unalotaka nifanye mbona kuna evidence nyingi humu watu wako kwenye ndoa mmoja ni positive na mwingine ni negative. Au hizi evidence huziamini ???
Nenda Vituo vya kupima ukachukue results contradiction zipo tele