Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Mtu mmoja ali kataa kuanza kutumia baada ya kugundulika miezi sita tu akaletwa akiwa hoi.

Mwingine alikua mtumiaji mzuri tu sijui alikumbwa nann, akaacha na kaanza kua mlevi, yeye alisepa ghafla .


Mtu mgonjwa asojijua , yeye anaweza kwenda mpaka miaka 10 kwa kuzingatia ana maisha safi lkn hiyo miaka 10 hapo kati anaumwa sanaaaa yaan sanaa tu , kwa hapa bongo na maisha yetu haya, haaaa miaka miwili tu


Mtu alopima leo kaambiwa ni.mgonjwa, akakataa kunywa dawa, kutokana na aina ya maisha atakayopitia, mawazo n.k huyu ana maisha mafupi zaidi kushinda asiyejijua.

Kwaiyo hapa, Watu watumie Dawa pindi tu atakapogundulika, na atumie Dawa kwa usahihi na muda sahihi, nakufuata maelekezo yote apewayo CTC. usipotumia Utaondoka mapema, ukitumia dawa kisha ukaacha utaondoka mapema zaidiii.
Ukisema muda sahihi unamaanisha nini?

Kwani zina masharti yake?
 
[emoji7][emoji8] ntakufinya hizo [emoji534][emoji534] na ntakuvuta hio [emoji1646] ukome kwa maumivu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah then what next? You know

California love
 
Nimemwambia huyo jamaa kwamba kama HiV hayupo aende pale ambiance nimwonyeshe mala.ya mwenye ngwengwe aende akapige kavu kavu tuone kama atakubal..hao watu wanaoongeaga sana ndo waoga ajabu
Haimaanishi ukikutana na mtu aliyeathirika unaweza kupata maambukizi,

Wapo wanandoa, wapenzi ambao mmoja ana maambukizi na mwingine hana maambukizi (Discordant couples)

Kwa yeyote mwenye maambukizi anapotumia dawa uwezekano wa kumuambukiza mtu unakuwa mdogo, ndio maana dunia kwasasa imekuja na 3, 1. 95% 2. 95% 3. 95% means baada ya mwaka 2030 tutafikia ile 100% ambapo kiwango cha maambukizi kinaweza fikia 1% duniani kote
 
Ile garage yake pale kijitonyama unaijua?

Jamaa lina sifa sana, sana...ukifika pale anaanza kujisifia eti ooh hii garage nimetumia 400m kuiweka hivi, yaan hata hujamuuliza huyu mtoto wa Kassim
Naionaga tu Zama anaipost Insta.....Yes Jamaa ni Dully Sykes aka Mr Misifa.
 
Dahh.. Huu uzi ushanikata maini leo tena nina ghairi show[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haya mambo bhana.. Ukizingatia leo ni jpili acha niwe mpole.
Nenda lakini usisahau kuchukua tahadhari☺
 
Fact aisee vijana tusisitizane ukimwi upo acheni kuziloweka mbichi,kinachouma zaidi unauziwa ngoma kwa 300K!just imagine three hundred thousand hela ambayo umeitafuta kwa jasho na hata hujawahi kumtumia mzazi wako kwa mkupuo kwa wakati mmoja ila wewe mbio mbio unaenda honga malaya unaondoka na ukimwi unaacha wazazi waliotegemea uwazike wewe wanakuzika wewe.

Umakini unahitajika sana kichwa cha chini kikisha-take action laah hatukuzingatia miaka 15 mbele tutakuwa tunaongea mengine hapa.
Kabisa mkuu huku mbele itakuwa hatari kwa chain hii.
 
ARV zinasaidia sana lakini kiukweli zimeongeza kiwango cha maambukizi kwa kiasi kikubwa sana sababu watu hawaonekani kwa macho kukonda kama zamani.

Serikali sijui imechoka maana naona hamasa ya elimu ya namna ya watu kuepuka siku hizi hamna Yani kama vile ugonjwa wa ukimwi haupo!

NGOs nazo sijui zinakata tama hatuzisikii zikitoa elimu jinsi ya kuepukana na ngono.

Msisitizo ule wa Abstain, Baki na mmoja (mkeo/mumeo), acha kabisa ngono, kama umeshindwa kabisa tumia condoms ijapokuwa hawamalizii kwa kusema “under your own risk “

Siku hizi msisitizo huo hatuusikii tena kupitia vyombo vya habari wala matukio ya kijamii.

Ni werevu wachache sana wenye kupata neema ya Mwenyezi Mungu ndiyo wanajilinda na kuepuka kabisa maswala ya uzinzi na uasherati.

Tukiamua kumtii Mungu kwa kuepuka kufanya uzinzi na uasherati hapo tutaweza kubaki salama na vizazi vyetu!

Lakini ukifanya uzinzi au uasherati ujue ipo siku kwa mzunguuko ulivyo sijui Mungu azidi kutunusuru na vizazi vyetu.

Mkuu, kumbuka Marekani ilikua inachangia sana kwenye hio elimu kwa kutumia NGO, sasa tangu huyu baradhuli aingie mamlakani Trump amekatiza hio misaada.....kwa hiyo ni Mungu tu atusaidie!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe mie et mto mwingne mdogo mwenye afya tele, mweeeeeeeeh
Yes mkuu,wako safi,na familia nzima inajua,sababu tumemfatilia kwa karibu sana.
 
Back
Top Bottom