Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Ni kweli hii kitu ndio maana mtaani mademu wageni huwa nawaangalia mara mbili tatu.
 
Mabaka meusi yako wapi?
 
Laki Si Pesa,
Si support hayo uliyosema kwamba watu wachapane/wakulane kwasababu ya arv ila ARV ni noma kuna Sister alipata ngoma ilikuja kugundulika mwaka 2003 ila inaonekana aliambukizwa na mumewe around 2000 ,sasa nikaja kumuona 2004 anaumwa ni nomaaaa na nusu.

Alikuwa na madonda mdomoni na puani halafu amekonda kalala yaani yupo flat kama godoro ila baada ya kuanza kula ARV yaani ni shida yupo ng'ari ng'ari ukikaa nae wewe ambaye hauna ngoma ndio unaonekana unao!!
 
Si kweli kwamba kila ukitoka na mwenye ukimwi ndiyo unaupata. unaweza toka na mwenye ngoma zaidi ya miezi 2 mpaka mkazaa
na mwanaume usiupate.

kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya ukimwi ni jambo la muhimu.
wapo wengi walio nusulika baada ya kudate na wenye HIV na hawakupata maambukizi.

Ivo kuweka justification kuwa kila mwenye kutoka na mwathirika basi kaathirka ni matumizi madogo ya akili. Hasa kwa magreta thinker.

Msiwachafue watu bila evidence taste!
MMENIELEWA?
 
Wanawake sijui huwa mnakwama wapi wengi wenu hamuwez kusema mtu atumie kinga mpaka mwanaume mwenyewe ajiongez ktk kumi anaweza mmoja ndio akawa na msimamo wa kutumia kinga hata hivyo goli la pili unaeza ukaacha
Goli la pili mbali ivo mimi nimekutana na mabinti misimamamo mikali sana Kondomu kondomu nasema ok isiwe case kwa vile sizipendi basi huwa nakuwa na zile za bei chee za kijinga unless labda mtu nim suspect mimi ndio ntatumia za ghali ili nienjoy pia ila sasa kama mtu namuona yupo vizuri afu analazimisha ndom basi namvalia zile za jero zinakauka chap afu huwa zinawaumiza yani hapo naondoa hisia kabisa nikigusa walau robo saa na mpira lazima mwenyewe aseme vua tu ili umwage hapo inakuwa imeisha gemu zifuatazo ni dry.

Sijawahi kubishia demu kuvaa kwanza ile confidence yangu tu akishasema vaa kondomu basi mwenyewe ataona huyu mwamba anajiamini sana, Btw mnaovaa Kondomu usiku kucha mnawezaje yani uamke tisa usiku uko naked na Mbunye ya dogo imepata joto hatari uanze kutafuta Malaironi yako wapi ufunike dushe kukosa joto? Aah hapana kabisa kweli kuna watu wameumbiwa ndom inachosa sana dushe.
 
Kwahiyo una maana gani? Hujali afya yako au unaijua na unataka kuangamiza wengine. [emoji24][emoji24][emoji24] Mungu atunusuru kwa kweli khaaaah.
 
Kwahiyo una maana gani? Hujali afya yako au unaijua na unataka kuangamiza wengine. [emoji24][emoji24][emoji24] Mungu atunusuru kwa kweli khaaaah.
Afya yangu iko vizuri tu mkuu ondoa shaka pia mtu akishatumia ARV ni ngumu kuambukiza ivo mimi namtazama mtu tu kwa macho tayari najua apa niende dry au nivae mpira
Najua siwezi kuwa Correct 100% mana hakuna kitu kina efficiency ya 100 hata machine ina errors
 
Konki 🔥🔥
 
Duuuuuh japo n mtazamo na maamuzi yako, ila sio vizuri huwezi kumuamini mtu kwa kumuona kwa macho, unless mpime afya kabla ya kuanza game, maana vipimo vipo na n bei rahis ku afford.
 
Na usijidanganye eti mtu upime nae kwa siku moja tu inatosha kwenda peku watu wengi wameangamia hapo..inapaswa mpime walau mara 3 kwa muda wa miezi 3 wengine huwa kwenye window period
Duuuuuh japo n mtazamo na maamuzi yako, ila sio vizuri huwezi kumuamini mtu kwa kumuona kwa macho, unless mpime afya kabla ya kuanza game, maana vipimo vipo na n bei rahis ku afford.
 
Ha ha ha we jamaa take care of yourself
 
cariha,
We acha tu tatizo ukiendekeza tamaa ya pesa,ile TAMAA yako inafunika hata UTU wako,unashindwa hata kutumia akili yako ndogo ya kutumia kinga,ili ulinde afya yako.

Na sisi wanawake tukiona tako akili ishavurukiga,mamlaka na akili ina kuwa controlled na kichwa cha chini.

Mimi mtaa ninao toka hadi huruma,watu wanausambaza maksudi kwa vibinti vya O-Level,nilimpaga darasa mdogo wangu wa kike sijui kalielewa au ndio kichwa kigumu sijui we acha.

PESA na MATAKO zitawaua wengi sana.
 
Sema ngoma haiambukizi kama magonjwa ya zinaa,pia hao wanaokula njugu nasikia wana asilimia ndogo sana za kuambukiza wengine..

Ukimwi sijui una siri gani,nina ndugu yangu aliuguza mkewe mpaka akafa,pia wana kijana wa miaka 21 sasa alizaliwa nao,afya yake sio njema sana ila yupo anakula dawa.

Kipindi huyo ndugu yang walipogundua mkewe ameukwaa yuko kwenye hali mbaya,yeye akagoma kupima,alikua mtulivu sana tena mzee wa kanisa,Gafla akawa malaya mbwa,miaka zaidi ya saba anatembeza dudu,siku akaumwa,wachaga wakamkomalia lazima apime wajue hali yake,alipima zaid ya mara 8 yuko safi.

Sasa nashanga mpaka mtoto kazaliwa nao,mke kafa ila jamaa hana,ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…