Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Yule mwenye pengo[emoji30][emoji45]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzoni ni mateso mpaka uzoee shuguli...halafu kwa hali ya kawaida maisha ya kumeza dawa kila siku ni mateso
Mateso makubwa kumbe!! Mie sipendi kunywa dawa kabisa hata panadol au Hedex sitaki kunywa!! Ndio maana najitahidi sana kujiepusha na matumizi ya dawa kwa kujikinga!!
 
Ni kweli mtu anayetumia dawa kwa usahihi ngumu kuambukiza..naomba uelewe anayetumia dawa kwa usahihi na sio anayetumia tu ilimradi.
 
[emoji3550] n ndefu mnooooh tena inaogopesha hatareeeh, khaaaah ukweli lazima usemwe, 85% ya wasanii wetu (bongo [emoji2427] + [emoji331]) wapo kweny Grid ya Taifa.


TACAIDS inabidi wawaongeze kwenye makundi hatarishi kwa maambukizi ya Ukimwi.

Makundi yaliyopo kwa sasa ni pamoja na:

1. Wauza baa
2. Madereva wa Masafa marefu
3. Wavuta madawa ya kulevya
4. .....

Sasa waongeze kundi lingine la

5. Bongo Muvi

6. Bongo fleva

7. N.k
 
Huu ugonjwa nao saa nyingine@Deception huwa ana point saa nyingine confusions sana
 
Halafu sikuhizi watoto wa primary, secondary ndo wanao Sana huu ugonjwa Mana wanarubunika kiurahisi Sana Kuna siku niliandika watu wakanitolea povu. Watu wengine wanafikiria wale watoto ni salama kumbe wanatumika na wengi. Hali ni tete
 

Upo kamanda
 
Halafu sikuhizi watoto wa primary, secondary ndo wanao Sana huu ugonjwa Mana wanarubunika kiurahisi Sana Kuna siku niliandika watu wakanitolea povu. Watu wengine wanafikiria wale watoto ni salama kumbe wanatumika na wengi. Hali ni tete
Watoto wa O Level tokea zamani hawako salama,kuna kipindi nilikuwa napiga tempo 2016
huko kwenye Minara ya simu Chanika,Kisarawe,Twangoma,Mbagala,Mvuti yaani wale wanafunzi wa shule za kata madereva wa bodaboda wana watafuna sana,kule usafiri wa shida basi lazima wajirahisishe.

Nimeshudia wakitomaswa na wengine wakigongwa acha tu,tuombe Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…