Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Dah huu uzi nimesoma comments zote dah, ila hata haya matamasha ya muziki nahisi yanachangia sana hii mambo. Hali inatisha
Ni kweli mkuu nlishawahi kuhudhuria fiesta moja ilifanyia kiwanja flan cha chuo kikuu aisee madem wa chuo wanajirahisisha sana kwa wasanii.Kabisa!
Kila alichokataza Mungu mara nyingi mwanadamu akikifanya kinaweza kuwa na madhara including muziki wa kidunia!
Muziki na Pombe vinachangia sana katika ushawishi wa vitendo vya ngono.
Ndiyo maana wazazi ukiweza kumlea mwanao achukie kunywa pombe na kuchukia miziki ya know dunia itakuwa ni hatua mojawapo Nzuri ya kushinda vishawishi.
Sisemi kuwa wasiokunywa pombe wao hawawezi kupata maambukizi la hasha nao wanaweza kupata kama wakiendekeza umalaya yaani tabia za uzinzi na uasherati.
Huku pia ni balaaPamoja na mikesha ya mbio za mwenge nayo hutumika kueneza maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi HIV
Afadhali Mwaka huu Anko Magu alivyozuia amekoa roho za wengi na mauti!
Mungu ambariki kwa hili kwa kweli.
kiukweli hapana hasa vyuon hali n mbaya kiukweli inaogopesha yaan ufuska na uzinzi nje nje, mtu m1 ana mahusiano na watu 3, hawa wakike wanauotoa kwa vibopa wanawasambazia wavulana wa rika lao. [emoji30][emoji30][emoji30]Watu wanajali pesa kuliko afya zao kikubwa wao hela eti atleast aishi vizuri miaka michache
Kwa hiyo hizo arv unatakiwa kila siku umeze mkuu?Mwanzoni ni mateso mpaka uzoee shuguli...halafu kwa hali ya kawaida maisha ya kumeza dawa kila siku ni mateso
Ni kweli piaa kikubwa umakini na kujali afya yako. Uaminifu hakuna tenaSema pia kuna watu wengine wanatembea na watu kwa siri, Yani ukiachilia mbali wale wanajionesha nao lakini kuna wale wa kupita au wale siri au wale ambao mtu anakutana nao anaposafiri au anapoenda maeneo fulani.
Yani binadamu siyo kumlia yamini hususa kwenye mambo kama Haya maana vitendo hivyo hufanyika sirini mara nyingi usiku.
Biblia inasema: mambo yafanyikayo gizani ni aibu hata kuyanena!
Wakati anatoka na jux....kuna time jux alikua anapita kwa wolper pia.....hata hivyo jux pia muhuni yule.anatafuna hadi vidumeKuhus vanessa hadi dakika hii kwa 90% naweza sema hayupo ndani ya attendace,
Vipi yule dada yangu Vanessa mdee amesalimika kwenye hii orodha?
sasa kumbe nini, yaan hadi nmecheka [emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiiiiihKwa hiyo hizo arv unatakiwa kila siku umeze mkuu?
Hapana jux baada ya kutoka na wolper, akafata Jackie, then kijiti akapokea Vanessa, na kwa wakat ule wolper hakuwa ktk attendance, kuhus jux nna was was kuukwaa maana kuna msanii wa kiume anamla ambapo huyo msanii alishaliwa na Jasiri muongoza njia. [emoji19][emoji19][emoji19]Wakati anatoka na jux....kuna time jux alikua anapita kwa wolper pia.....hata hivyo jux pia muhuni yule.anatafuna hadi vidume
Ila unaonekana unamkubali sana VanessaKuhus vanessa hadi dakika hii kwa 90% naweza sema hayupo ndani ya attendace,
Haswaaaaaaaaaaaah n fan ake makubwaaaah mie,Ila unaonekana unamkubali sana Vanessa
Una ushahidi gani kuwa Ruge alikuwa nao?
Je, watu wenye HIV hawawezi lishwa sumu ?
Je, watu wenye HIV sumu haiwadhuru?
@cocastic yanaukweli haya kuhusu V?Wakati anatoka na jux....kuna time jux alikua anapita kwa wolper pia.....hata hivyo jux pia muhuni yule.anatafuna hadi vidume
Duh! Hatari hii me nilikuwa sijuagi kumbe ni adhabu hivyo!sasa kumbe nini, yaan hadi nmecheka [emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiiiiih
Unajua kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana kwa hiyo jux nae anenda kwa mpalange [emoji44] [emoji44] [emoji44]Hapana jux baada ya kutoka na wolper, akafata Jackie, then kijiti akapokea Vanessa, na kwa wakat ule wolper hakuwa ktk attendance, kuhus jux nna was was kuukwaa maana kuna msanii wa kiume anamla ambapo huyo msanii alishaliwa na Jasiri muongoza njia. [emoji19][emoji19][emoji19]
Kwa mahaba haya uliyo nayo kwa V tutegemee kumsifia tu hata kama na yeye atakuwa kwenye orodha yupo yupo hata kwa bahati mbaya. [emoji23][emoji23][emoji23]Haswaaaaaaaaaaaah n fan ake makubwaaaah mie,
Mmmmmh kwann asiende na chanzo kikubwa cha kuachan na vee, n baada ya vee kukuta mawasiliano ya huyo msanii na jux tena in deep feelings on love. Akaona amuache aendeleze hayoooh.Unajua kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana kwa hiyo jux nae anenda kwa mpalange [emoji44] [emoji44] [emoji44]
Unajua vitu vinavyosababisha figo kufeli?Ushahid uliopo ni Hosp alio kua akichukua dawa na kufanya Dialysis
Hapana mie simtetei ila naongea kwa uhalisia, mbna mdogo ake mimi mars tayari yupo kweny orodha.Kwa mahaba haya uliyo nayo kwa V tutegemee kumsifia tu hata kama na yeye atakuwa kwenye orodha yupo yupo hata kwa bahati mbaya. [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi ndio hivyoohDuh! Hatari hii me nilikuwa sijuagi kumbe ni adhabu hivyo!