Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Dah huu uzi nimesoma comments zote dah, ila hata haya matamasha ya muziki nahisi yanachangia sana hii mambo. Hali inatisha
Pamoja na mikesha ya mbio za mwenge nayo hutumika kueneza maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi HIV
Afadhali Mwaka huu Anko Magu alivyozuia amekoa roho za wengi na mauti!
Mungu ambariki kwa hili kwa kweli.