Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Dah huu uzi nimesoma comments zote dah, ila hata haya matamasha ya muziki nahisi yanachangia sana hii mambo. Hali inatisha

Pamoja na mikesha ya mbio za mwenge nayo hutumika kueneza maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi HIV

Afadhali Mwaka huu Anko Magu alivyozuia amekoa roho za wengi na mauti!

Mungu ambariki kwa hili kwa kweli.
 
Kabisa!

Kila alichokataza Mungu mara nyingi mwanadamu akikifanya kinaweza kuwa na madhara including muziki wa kidunia!

Muziki na Pombe vinachangia sana katika ushawishi wa vitendo vya ngono.

Ndiyo maana wazazi ukiweza kumlea mwanao achukie kunywa pombe na kuchukia miziki ya know dunia itakuwa ni hatua mojawapo Nzuri ya kushinda vishawishi.
Sisemi kuwa wasiokunywa pombe wao hawawezi kupata maambukizi la hasha nao wanaweza kupata kama wakiendekeza umalaya yaani tabia za uzinzi na uasherati.
Ni kweli mkuu nlishawahi kuhudhuria fiesta moja ilifanyia kiwanja flan cha chuo kikuu aisee madem wa chuo wanajirahisisha sana kwa wasanii.
 
Pamoja na mikesha ya mbio za mwenge nayo hutumika kueneza maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi HIV

Afadhali Mwaka huu Anko Magu alivyozuia amekoa roho za wengi na mauti!

Mungu ambariki kwa hili kwa kweli.
Huku pia ni balaa
 
Watu wanajali pesa kuliko afya zao kikubwa wao hela eti atleast aishi vizuri miaka michache
kiukweli hapana hasa vyuon hali n mbaya kiukweli inaogopesha yaan ufuska na uzinzi nje nje, mtu m1 ana mahusiano na watu 3, hawa wakike wanauotoa kwa vibopa wanawasambazia wavulana wa rika lao. [emoji30][emoji30][emoji30]
 
Sema pia kuna watu wengine wanatembea na watu kwa siri, Yani ukiachilia mbali wale wanajionesha nao lakini kuna wale wa kupita au wale siri au wale ambao mtu anakutana nao anaposafiri au anapoenda maeneo fulani.

Yani binadamu siyo kumlia yamini hususa kwenye mambo kama Haya maana vitendo hivyo hufanyika sirini mara nyingi usiku.

Biblia inasema: mambo yafanyikayo gizani ni aibu hata kuyanena!
Ni kweli piaa kikubwa umakini na kujali afya yako. Uaminifu hakuna tena
 
Kuhus vanessa hadi dakika hii kwa 90% naweza sema hayupo ndani ya attendace,
Wakati anatoka na jux....kuna time jux alikua anapita kwa wolper pia.....hata hivyo jux pia muhuni yule.anatafuna hadi vidume
Vipi yule dada yangu Vanessa mdee amesalimika kwenye hii orodha?
 
Wakati anatoka na jux....kuna time jux alikua anapita kwa wolper pia.....hata hivyo jux pia muhuni yule.anatafuna hadi vidume
Hapana jux baada ya kutoka na wolper, akafata Jackie, then kijiti akapokea Vanessa, na kwa wakat ule wolper hakuwa ktk attendance, kuhus jux nna was was kuukwaa maana kuna msanii wa kiume anamla ambapo huyo msanii alishaliwa na Jasiri muongoza njia. [emoji19][emoji19][emoji19]
 
Unajua kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana kwa hiyo jux nae anenda kwa mpalange [emoji44] [emoji44] [emoji44]
 
Unajua kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana kwa hiyo jux nae anenda kwa mpalange [emoji44] [emoji44] [emoji44]
Mmmmmh kwann asiende na chanzo kikubwa cha kuachan na vee, n baada ya vee kukuta mawasiliano ya huyo msanii na jux tena in deep feelings on love. Akaona amuache aendeleze hayoooh.
 
Back
Top Bottom