Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
ARV zinasaidia sana lakini kiukweli zimeongeza kiwango cha maambukizi kwa kiasi kikubwa sana sababu watu hawaonekani kwa macho kukonda kama zamani.
Serikali sijui imechoka maana naona hamasa ya elimu ya namna ya watu kuepuka siku hizi hamna Yani kama vile ugonjwa wa ukimwi haupo!
NGOs nazo sijui zinakata tama hatuzisikii zikitoa elimu jinsi ya kuepukana na ngono.
Msisitizo ule wa Abstain, Baki na mmoja (mkeo/mumeo), acha kabisa ngono, kama umeshindwa kabisa tumia condoms ijapokuwa hawamalizii kwa kusema “under your own risk “
Siku hizi msisitizo huo hatuusikii tena kupitia vyombo vya habari wala matukio ya kijamii.
Ni werevu wachache sana wenye kupata neema ya Mwenyezi Mungu ndiyo wanajilinda na kuepuka kabisa maswala ya uzinzi na uasherati.
Tukiamua kumtii Mungu kwa kuepuka kufanya uzinzi na uasherati hapo tutaweza kubaki salama na vizazi vyetu!
Lakini ukifanya uzinzi au uasherati ujue ipo siku kwa mzunguuko ulivyo sijui Mungu azidi kutunusuru na vizazi vyetu.