Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Kama virus si kwel nakuomba nenda ambiance chkua malaya piga kavu ndan ya mwez m1 uje utoe uthibitisho wa theory yako
mkuu huyo n wa kupuuzwa anadhan humu kuna watoto wa chekechea wakamuelewa hii logic yake ya uwongo. Khaaaaaaah
 
Kama virus si kwel nakuomba nenda ambiance chkua malaya piga kavu ndan ya mwez m1 uje utoe uthibitisho wa theory yako
Humu Leo Kuna mtu amesema ana ndugu yake ameolewa yeye ana huo ukimwi ila mme Hana , Ni miaka na miaka. Na wanazaa na mechi wanapiga kama kawa ila wakienda hospital kupima mme anakuwa Hana ...

Case Study Hiyo.
 
Huu uzi nimeusoma tu bila kuchangia hebu nichangie sasa.

UKIMWI sijui unanitaka nini mimi, nikiwa form one nilikapenda katoto kazuri kweli siku tukapanga kuchezeana. Siku tunapanga tukio rafiki zangu wakatuona, walikuwa wamesoma nako primary na wanakajua.

Wakanambia kuwa kaliupata kakiwa std 6, kaliambukizwa na mwalimu wa BTP wale wa field. Yule mtu alikuwa probably kazaliwa nao, alikufa kitambo.

Wazazi wake waliposikia kanatoka na yule jamaa wakakaamisha kwa muda shule, bahati mbaya walishachelewa. Hiyo taarifa nilipata siku moja kabla ya tukio, tangu hapo nikawa napiga na kondomu tu. Mara ya kwanza napiga dry nilijishangaa sana nilivyokuwa nakosa uhondo siku zote. Nilipata shida sana kurudia kutumia kinga.

Nikiwa form 4 (shule ya kata) kuna walimu walikuja field. Mmoja akawa anapiga stories za chuo kuna mademu ila wana UKIMWI, akasema "ukishapata ugonjwa huu unasoma ili iweje?" Hapo tulikuwa class na raia wawili wamezaliwa nao + yule wa std 6. Mmojawapo akajilengesha kwa yule ticha akamuambukiza (alikuwa anawanyanyapaa bila kujua, walichukia).

Ilikuwa Jumatano PM akatangaza kufunga vyuo. Mimi nikabaki ghetto, nilikuwa na pesa na kila kitu. Nikaanza kuspot watoto wazuri mtaani. Wote nilitumia kinga, kuna mmoja around ≤18yrs, ana chuchu saa 6 (ugonjwa wangu). Nikalinganisha umri nikaona huyu hana mitikasi nitapiga dry. Akajaa kirahisi sana ila akanambia mpaka Jmosi. Ijumaa nikapigwa hasara ndefu sana nikaona sitaweza baki bora niende nyumbani. Naye akawa hapatikani siku nzima, nikaondoka.

Sasa....tulipofungua si nikakaa wiki kama mbili simuoni wakati tuko majirani. Si nikaja kumuona amekongoroka, nywele zimefifia anaonekana anataka kuota mvi, ana mabaka meusi kwenye ngozi, hana nuru tena. Nikaconnect dots mama yake nae ana dalili sugu za HIV+. Nikajua kumbe ndo maana nilipata hasara from nowhere.

Bora niwe kama jasusi, naendelea kutoamini mtu.
 
Huu uzi nimeusoma tu bila kuchangia hebu nichangie sasa.
UKIMWI sijui unanitaka nini mimi, nikiwa form one nilikapenda katoto kazuri kweli siku tukapanga kuchezeana. Siku tunapanga tukio rafiki zangu wakatuona, walikuwa wamesoma nako primary na wanakajua. Wakanambia kuwa kaliupata kakiwa std 6, kaliambukizwa na mwalimu wa BTP wale wa field. Yule mtu alikuwa probably kazaliwa nao, alikufa kitambo.
Wazazi wake waliposikia kanatoka na yule jamaa wakakaamisha kwa muda shule, bahati mbaya walishachelewa. Hiyo taarifa nilipata siku moja kabla ya tukio, tangu hapo nikawa napiga na kondomu tu. Mara ya kwanza napiga dry nilijishangaa sana nilivyokuwa nakosa uhondo siku zote. Nilipata shida sana kurudia kutumia kinga.

Nikiwa form 4 (shule ya kata) kuna walimu walikuja field. Mmoja akawa anapiga stories za chuo kuna mademu ila wana UKIMWI, akasema "ukishapata ugonjwa huu unasoma ili iweje?" Hapo tulikuwa class na raia wawili wamezaliwa nao + yule wa std 6. Mmojawapo akajilengesha kwa yule ticha akamuambukiza (alikuwa anawanyanyapaa bila kujua, walichukia).

Ilikuwa Jumatano PM akatangaza kufunga vyuo. Mimi nikabaki ghetto, nilikuwa na pesa na kila kitu. Nikaanza kuspot watoto wazuri mtaani. Wote nilitumia kinga, kuna mmoja around ≤18yrs, ana chuchu saa 6 (ugonjwa wangu). Nikalinganisha umri nikaona huyu hana mitikasi nitapiga dry. Akajaa kirahisi sana ila akanambia mpaka Jmosi. Ijumaa nikapigwa hasara ndefu sana nikaona sitaweza baki bora niende nyumbani. Naye akawa hapatikani siku nzima, nikaondoka.
Sasa....tulipofungua si nikakaa wiki kama mbili simuoni wakati tuko majirani. Si nikaja kumuona amekongoroka, nywele zimefifia anaonekana anataka kuota mvi, ana mabaka meusi kwenye ngozi, hana nuru tena. Nikaconnect dots mama yake nae ana dalili sugu za HIV+. Nikajua kumbe ndo maana nilipata hasara from nowhere.
Bora niwe kama jasusi, naendelea kutoamini mtu.
Sasa saivi huko secondary na vyuoni hali ni mbaya ufuska na uzinzi nje nje. Yaan ukimwi upo na unaua. [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Humu Leo Kuna mtu amesema ana ndugu yake ameolewa yeye ana huo ukimwi ila mme Hana , Ni miaka na miaka. Na wanazaa na mechi wanapiga kama kawa ila wakienda hospital kupima mme anakuwa Hana ...

Case Study Hiyo.
Tumia akili.case1 haiwez fanya case zingne kua false...

Pia jarib pitia machapisho mbalimbal kuhusu virus...au hujui kuwa sometime virus vinaweza ingia kwenye mwil wa binadam ila kinga ya mwili ikavishambulia had vikafa na kupotea vyote..?..kwanza unafaham hilo??..kama hufaham bas pitia tena uongeze ufaham
 
Nilipotumia kwa mara ya kwanza kama PEP mara ya kwanza 2018 yalinikuta haya.
1.Ndoto mbaya
2.Kichwa kuuma
3.Uchovu usioisha
4.Kukosa hamu ya kula
5.kuishiwa nguvu ila 1&2 ndo zilinitesa sana

Nilipoyumia tena 2020 mwezi february kama PEP nilikutwa na haya
1.Niliharisha sana siku mbili mfululizo nikawekewa hadi maji
2.Tumbo kuuma
3.Kichefu chefu
4.Uchovu usioisha

Ndoto mbaya sikuota ila hii ya mara pili ilikua balaa nililazwa..tangu hiyo siku japo sikua nimepata exposure kwa kufanya ngono nilijichoma wakati nashona mtu kazini lakini nina uheshimu ukimwi kama navyoheshimu jicho pangu.
ARV zina nini mkuu, funguka hapa
 
Tumia akili.case1 haiwez fanya case zingne kua false...

Pia jarib pitia machapisho mbalimbal kuhusu virus...au hujui kuwa sometime virus vinaweza ingia kwenye mwil wa binadam ila kinga ya mwili ikavishambulia had vikafa na kupotea vyote..?..kwanza unafaham hilo??..kama hufaham bas pitia tena uongeze ufaham
Hakuna kirusi Cha ukimwi , hakijawahi kuwepo.

Nenda kwa daktari yoyote duniani akiweza kukuonesha kirusi Cha ukimwi njoo hapa unitukane.

Hayo Matakataka ya kupimia ukimwi Ni rubbish. Watu wanatumia ARVs na sio wagonja maana Kuna Hali mtu akiwa nayo yanaweza kutoa majibu positive. Mama mjamzito Kuna protein anazalisha ambayo inaweza kuchochea kipimo kutoa majibu positive.

Logic nzima ya upimaji wa HIV Ni upuuzi mtupu. Hivyo vipimo vya kuweka damu huwa hampimwi kujua HIV ila Hali ya mwili Kama n positive au negative.
 
Nilipotumia kwa mara ya kwanza kama PEP mara ya kwanza 2018 yalinikuta haya.
1.Ndoto mbaya
2.Kichwa kuuma
3.Uchovu usioisha
4.Kukosa hamu ya kula
5.kuishiwa nguvu ila 1&2 ndo zilinitesa sana

Nilipoyumia tena 2020 mwezi february kama PEP nilikutwa na haya
1.Niliharisha sana siku mbili mfululizo nikawekewa hadi maji
2.Tumbo kuuma
3.Kichefu chefu
4.Uchovu usioisha

Ndoto mbaya sikuota ila hii ya mara pili ilikua balaa nililazwa..tangu hiyo siku japo sikua nimepata exposure kwa kufanya ngono nilijichoma wakati nashona mtu kazini lakini nina uheshimu ukimwi kama navyoheshimu jicho pangu.
Ma Dr mungu awaongezee..kaz yenu ni ngum sana plus maslah madogo tanzania hapa....akat li mbunge halifany chochote ila linalipwa mamilioni..

Madaktar nawaheshimu kuliko viumbe wowote
 
Amin

Hebu tutajie hiyo protein nasi tupate shule boss
Hakuna kirusi Cha ukimwi , hakijawahi kuwepo.

Nenda kwa daktari yoyote duniani akiweza kukuonesha kirusi Cha ukimwi njoo hapa unitukane.

Hayo Matakataka ya kupimia ukimwi Ni rubbish. Watu wanatumia ARVs na sio wagonja maana Kuna Hali mtu akiwa nayo yanaweza kutoa majibu positive. Mama mjamzito Kuna protein anazalisha ambayo inaweza kuchochea kipimo kutoa majibu positive.

Logic nzima ya upimaji wa HIV Ni upuuzi mtupu. Hivyo vipimo vya kuweka damu huwa hampimwi kujua HIV ila Hali ya mwili Kama n positive au negative.
 
Hakuna kirusi Cha ukimwi , hakijawahi kuwepo.

Nenda kwa daktari yoyote duniani akiweza kukuonesha kirusi Cha ukimwi njoo hapa unitukane.

Hayo Matakataka ya kupimia ukimwi Ni rubbish. Watu wanatumia ARVs na sio wagonja maana Kuna Hali mtu akiwa nayo yanaweza kutoa majibu positive. Mama mjamzito Kuna protein anazalisha ambayo inaweza kuchochea kipimo kutoa majibu positive.

Logic nzima ya upimaji wa HIV Ni upuuzi mtupu. Hivyo vipimo vya kuweka damu huwa hampimwi kujua HIV ila Hali ya mwili Kama n positive au negative.
Mkuu mbona uko mbali sana na technolojia..mbona wenzio skuhiz vipimo vime advanve wanaona had hyo DNA ya kirusi
 
Back
Top Bottom