Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kahawa ya maziwa nadhani jina Lina asili ya ItalyCapuccino ni nini.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kahawa ya maziwa nadhani jina Lina asili ya ItalyCapuccino ni nini.?
Yeah. Nafikiri wanafanya hiviCelebs weng hawaend direct hospital, wanakuwa na contact za ma Dr husika anaehusu masuala haya kweny hicho kituo chake cha kuchukulia dawa, then wanafanya delivery, huwez wakuta wanapanga folen mahospitalini.
Noma sana! Vijana wanazidi kuharibikaMashoga wako kwenye risk kubwa sana
Dr ni kama umenipa go ahead niendelee kuenjoy utukufu wa Sir God yani Nyama nyamaHii hali kitaalam hujulikana kama serodiscordant couple, ambapo Mwenza mmoja anakua na maambukizi ya HIV lkn mwengine Hana hata kama wamekua wakifanya Ngono bila kutumia Kinga.
Nini hasa kinachotokea? Je HIV ni kitu cha kufikirika?? HAPANA..... jambo pekee hapa ni BAHATI BAHATI BAHATI yaaan uwezekano wa kupata HIV ikiwa ataendelea kufanya ngono zembe nahuyohuyo mtu kuna siku angepata maambukiz.
HIV ni kirusi kirusi kigumu kukipata , Hii inamanisha Exposure moja tu haitoshi kukupa maambukizi, lkn bado ukweli nikwamba itakuchukua mara moja tu kupata HIV.
Je Mwanaume na Mwanamke nani yupo ktk hatari zaidi ya kupata maambukizi hata mara moja tu toka siku alalae na mwathirika???? .
Jibu hapa ni Moja...MWANAMKE . Kwann?? Kwa sababu ya anatomia ya maungo ya mwanamke yanamfanya awe ktk risk kubwa sana. Kivipi?? Kuta za kumaa ni mucosal membrane ambayo kutoka na uundwaji wke inaruhusu HIV kupita , so mwanaume Mgonjwa anapomwagia shahawa mwanamke, uwezekano wahuyo mwanamke kukwaa ni mkubwa.. lkn pia Mwanamke mgonjwa kumpa mwanaume , kutokana na umbile la mwanaume basi nilazima MICHUBUKO iwepo kwenye mbooo, au itokee majimaji yakuma yamepenya kupitia mlango wa kutolea shahawa kwa mwanaume.
Sasa kwann Ndugu yako hakupata???? Ni sababu kwanza ya Bahati,, Sababu za kimaumbile, aina ya ngono alokua anafanya , lkn huwezi amini kama angendelea kumtombaa kavukavu kuna siku angeukwaa tu hamna namna.( mwanamke mgonjwa anaweza tombana na wanaume 10 asiwape maambukizi, lkn mwanamke mzima akatombana na mwanaume mmoja wawili wagonjwa wakampa maambukizi)namaanisha ivi Suala la nani mwenye maambukizi kati ya anayetomba au anayetombwa ? Pia lazima liingatiwe.
Kwann mtoto aliupata?? Watoto wengi wanapata maambukizi wakati wa kuzaliwa tena tena hasa kwa mama asotumia Dawa, na kwa maendeleo ya Dawa hizi zakupunguza makali, kwasasa maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yamepungua sana kiasi kwamba kama MJAMZITO ANATUMIA DAWA vizuri ,kwa usahihi na kwa muda sahihi , Basi ni uzembe wa watoa huduma wa afya ndio utakaopelekea mtoto kupata maambukizi.
NINI FAIDA YA UTUMIAJI WA DAWA ZA KUPUNGUZA MAKALI YA HIV???
Mtumiaji wa Dawa hizi aliyezitumia kwa miezi zzaidi ya sita nakuendelea, kiwango cha viral load huwa kinakua undetectable , na pindi pindi kinapokua undetectable basi mtu huyu hana uwezo wakuambukiza kwa njia ya Ngono (au upo lkn kwa kiwango cha chini sanaaaaa) naivo anakua ktk nafasi yakua mwenye Afya zaidi, aliyenawiri .
Bila shaka nimejibu namengineyo.
I think vijana wakiume walitumia hyo njia kutoka kimzikiNoma sana! Vijana wanazidi kuharibika
Nimemjibu accordingly hizo mada zipo humu na hao madaktari uchwara tuliwapiga nondo wakakimbia. Aende akazitafute asome.Mtu kujiunga hata kufungua I'd this year haimanishi hajui kitu, mzee hyo kitu eti nimejiunga long tushajadili very low. Pia watu hu change I'd
Zipo ndio lakini msitake kudaganya watu serikali isingekuwa inatumia nguvu nyingi kununua hzo Arv, HIV ipo nimeona mtoto akiondoka hivi hivi.Nimemjibu accordingly hizo mada zipo humu na hao madaktari uchwara tuliwapiga nondo wakakimbia. Aende akazitafute asome.
Inawezekana ukawa na point Miaka karibia 30 Sasa tangu ukimwi uingie Ila sijawai ona hata picha ya hiko kirusi kinafananajeHakuna kirusi Cha ukimwi , hakijawahi kuwepo.
Nenda kwa daktari yoyote duniani akiweza kukuonesha kirusi Cha ukimwi njoo hapa unitukane.
Hayo Matakataka ya kupimia ukimwi Ni rubbish. Watu wanatumia ARVs na sio wagonja maana Kuna Hali mtu akiwa nayo yanaweza kutoa majibu positive. Mama mjamzito Kuna protein anazalisha ambayo inaweza kuchochea kipimo kutoa majibu positive.
Logic nzima ya upimaji wa HIV Ni upuuzi mtupu. Hivyo vipimo vya kuweka damu huwa hampimwi kujua HIV ila Hali ya mwili Kama n positive au negative.
Aisee [emoji119]Ruge mbona alikuwa mfir.. aji, alikuwa anawala mbele na nyuma wanawake, hawa wa kiume n mwendo wa kuwainamisha tyuuuuh.
Komredi kipepe wa gazeti la sani[emoji3] na rungu lake kila siku anakosa mawindo kizembe [emoji1787]Noma sana! Eti jasiri muongoza njia alikua anatembeza Rungu kama comrade Kipepe!
Hahah.. wordplay hii wachache sana walielewa Kaveli"Para anasema Muhaya ndo kauleta umeme Bongo''
What's up Songa. What's up Lunduno family.
-Kaveli-
Acha mzaha kwenye mambo serious, HIV naiheshimu imejeruhi watu wangu wa karibu sanaWabongo bana Kuna magonjwa hatari Kama kansa au homa ya ini , kisukari na kufeli kwa Figo ndio magonjwa mnapaswa kujiepusha nayo na sio Huo upuuzi eti HIV ... Hizo ni biashara za watu.Ukimwi kila mtu anao.. Kwani nani Hana ukimwi !! Nani Kinga zake huwa hazishuki ? Hata stress zinashusha kinga Sasa mnashangaa Nini.
Achaneni na huo utumwa wa wazungu kuwageuza soko la hizo ARVs zao zinazoenda kuharibu Figo, ini na kusababisha kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake (cervical cancer). Ukifuatilia watu wote wanaotumia ARVs mwisho wa siku hufa na moja ya hayo magonjwa.
Kwa hizi network zilizotajwa humu Kama kweli kungekuwa na uhalisia wa huo upuuzi HIV Basi nchi nzima ingekuwa na waathirika wa ukimwi maana ni nadra kwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja. Halafu hivi tangu lini Kinga zangu kuwa chini zinaweza kumuambukiza mtu mwingine ???
Hivi mnajua stress zinashusha kinga ? Sasa nitawezaje kumuambukiza mtu mwingine mwenye Kinga na mzima kabisa !!! ... Mambo mengine sio mpaka muende vyuon tumien common sense
Acheni ngono zembe msije kupata homa ya ini na magonjwa mengine na sio eti HIV ... Hakuna hicho Kitu guys. Mnateketea kwa kukosa maarifa.
Kwahiyo medicine ikikuelewa unakaa sawa?Trust me huyu binti anaumwa! Hizi huwa ni reaction za medics kabla hazijakuelewa! Na inaonesha alikuwa hoi sana
Uwiiiiiii sasa dea yeye hakutoa muongozo vzur, ndio maan skua namuelewa ila Dr kaeleza vzur na kaongezea nyama nyama aaaah fresh kaeleweka.Maana akielezea hizo logic zake cocastic kasema false logic eti
Uwiiiiiiiiih bas sorry mkuu, umeshinda weyeeeh lol.Umejiunga Jamii forum 2019 hizi mada tumeshazijadili kuanzia miaka ya 2015 na Kuna madaktari vichwa zaidi ya Huyo mwanafunzi wa notice za Nyambari Nyangwine walikimbia.
Kama Yuko vizuri aje hapa twende nae kwa hoja na uhalisia.
Kwanini watumie hii njia?I think vijana wakiume walitumia hyo njia kutoka kimziki
Poleeeeeh mkuu bado una nafasi ya kumpenda, maana wameeleza kuwa ukimwi hauambukizi hovyo, kwahyo unaweza ukapiga dry af fresh tyuh aan, [emoji23][emoji23][emoji23]Ila haka ka Mimi Mars nilikuwa nakakubali kalivyokuwa katangazaji
Mweeh! Kameingia kwenye muziki kamekutana na waliooza[emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtu anaedanganya hapa it's all about fact tu. Acha personal attack tuelewane.Zipo ndio lakini msitake kudaganya watu serikali isingekuwa inatumia nguvu nyingi kununua hzo Arv, HIV ipo nimeona mtoto akiondoka hivi hivi. Msitake kufanya watu wajiachie wazalilike. Hzo number zipo Ila za kuambiwa changanya na zako, Kuna mtu hakutumia mwenzake akatumia yeye katangulia kufa