beast of kandahar
Member
- Jul 1, 2013
- 98
- 33
If there is anyone here who pretend that he did not see a heart attack coming, that will be very very strange.
What his death may mean, at least we can say that the dirtiest page of Tanzanian entertainment has come to an end. Nilikuwa nakasirishwa sana alivyokuwa ana-fund TOT kwa hela za Mpakanjia, hadi nikasema kama mwalimu angejua nyimbo za kumuombeleza zilikotaka na hela za ajabu labda angefufuka.

kwani ile nyumba iliuzwa kwa mnada kweliNyumba kupigwa mnada si mchezo
sasa nyimbo tutatoa wapi?
Serikali iweke siku3 za maombolezo ili tusiende kazini.
Heart attack? Too bad. May his soul rest in eternal peace
Amina chifupa, Mpakanjia, na sasa Komba,
Rest In Peace Capt Komba. Pole Familia,TOT, CCM na WanaMbinga wote. Kifo ni Hakika na wala si Imani. Neno linasema 'Heri Wafu wafaao katika Bwana'. Nitakukumbuka kwa nyimbo zako hasa ile ya Kifo cha Samora.