TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Ni kweli ITV wametangaza kwenye kipindi cha jiji letu,
Habari kamili tutapatiwa saa mbili usiku kama kawaida ya vituo vingi vya TV vya bongo.
 
If there is anyone here who pretend that he did not see a heart attack coming, that will be very very strange.

What his death may mean, at least we can say that the dirtiest page of Tanzanian entertainment has come to an end. Nilikuwa nakasirishwa sana alivyokuwa ana-fund TOT kwa hela za Mpakanjia, hadi nikasema kama mwalimu angejua nyimbo za kumuombeleza zilikotaka na hela za ajabu labda angefufuka.

Kwa post yako hii mkuu nimeunganisha dot na sasa nimepata pucha kamili .

R.I.P baba wa taifa Julius K Nyerere
 
Ingawa sipendi Chama chake nawapa pole wale waliofikwa na msiba huo hasa familia yake RIP John komba
 
If there is anyone here who pretend that he did not see a heart attack coming, that will be very very strange.

What his death may mean, at least we can say that the dirtiest page of Tanzanian entertainment has come to an end. Nilikuwa nakasirishwa sana alivyokuwa ana-fund TOT kwa hela za Mpakanjia, hadi nikasema kama mwalimu angejua nyimbo za kumuombeleza zilikotaka na hela za ajabu labda angefufuka.

You are very right Mkuu, being overweight is a serious problem. The public need to be addressed on how to live and eat healthy. Non Communicable Diseases are preventable we can avoid them by changing our lifestyles
 
Serikali iweke siku3 za maombolezo ili tusiende kazini.

kwa ajili ya nini? kwani Komba alikuwa nani zaidi ya mbunge tuu? Wameuawa Albino 75 hata kulaani tu kama taifa hatujafanya , tupumzike kwa ajili ya kufa Komba?
 
Nayule mpiga kura wake aliokuwa anaumwa naskia nae alikufa dah mwenye hizi taarifa athibitishe yule alievujisha picha
 
Heart attack? Too bad. May his soul rest in eternal peace

Rest In Peace Capt Komba. Pole Familia,TOT, CCM na WanaMbinga wote. Kifo ni Hakika na wala si Imani. Neno linasema 'Heri Wafu wafaao katika Bwana'. Nitakukumbuka kwa nyimbo zako hasa ile ya Kifo cha Samora.
 
Mwanga wa milele umuangazie eeh BWANA, apumzike kwa amani

poleni wafiwa, pole mdogo wangu LULU
 
Rest In Peace Capt Komba. Pole Familia,TOT, CCM na WanaMbinga wote. Kifo ni Hakika na wala si Imani. Neno linasema 'Heri Wafu wafaao katika Bwana'. Nitakukumbuka kwa nyimbo zako hasa ile ya Kifo cha Samora.

Amen, Asante kwa neno.
 
Acheni ligi za kipuuzi dr kasema john komba kafa sasa wewe unabisha nini?kwa kuwa j4 imavamiwa naongezea kwamba john komba ni mbunge wa jimbo la mbamba bay na ni mwimbaji wa nyimbo za ccm na wakati wa mchakato wa katiba alisema serikal tatu zikipita ataenda msitun,hata ivo ni faida kwa UKAWA maana ikina mama wengi
walikuwa wanapoteza kura kwa kusikiliza nyimbo za kipuuz
 
Tuliobaki ni nafasi nzuri ya kutafakari na kumrudia au kumtukuza MUNGU. Mwili ufa lakini roho haifi. Kuna kuzaliwa mtupu na kuondoka mtupu. Pia kuna kuzaliwa mtupu au ... na kuondoka na wokovu uliojaa uzima wa milele.

Je tuliobaki tutaondoka na kitu au watupu?

TAFAKARI.

JINA LA BWANA LIBARIKIWE.
 
Back
Top Bottom