Ametangulia kuandaa makao ya CCM.
Yaani mie nawahurumia magamba kwenye kampeni maana hata hiyo tot kwishney!r.i.p komba
nilipenda nyimbo zako ingawa siwapend ccm
sasa nyimbo tutatoa wapi?
Kila nafsi itaonja mauti
Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili hasa kutokana na matendo yake hapa duniani , kiukweli hili ni pigo kubwa sana kwa ccm , nani atatunga nyimbo za kurubuni wananchi ?
Na kuingia msituni je?Yametimia alisema atakufa bila kuona serikali tatu