gashambala uwezo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 485
- 67
Serikali iweke siku3 za maombolezo ili tusiende kazini.
Najaribu kuwaza tu ukubwa wa jeneza lake!!
Mwili ufa lakini roho haifi.
TANZIA:
Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni.
CCM na EATV(East Africa Television) Wameandika kwenye twitter yao.
Pengo lake halitazibika......majonzi kwa taifa....
UPUMZIKE KWA AMANI KOMBA...
hii habari imenishtua sana...kifo hakizoeleki jamani..kila nafsi itaionja mauti....vijana wenzangu tuupokee msiba huu kwa utulivu mkubwa
Pengo lake halitazibika......majonzi kwa taifa....
UPUMZIKE KWA AMANI KOMBA...
Mungu aiweke roho yake mahali inapostahili hasa kutokana na matendo yake hapa duniani , kiukweli hili ni pigo kubwa sana kwa ccm , nani atatunga nyimbo za kurubuni wananchi ?
Pengo la kui gia msituni au ? Sijaelewa hapa