DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kwa mpira ni jambo la kawaida kabisa kupitia kwenye hali zote , Liverpool alisubiri miaka 30 kunusa kombe la epl , na kulaumu kwa mshabiki ni jambo la kawaida piaWengine wana laumu refa, wengine kocha, wengine wachezaji, wengine Mangungu, wengine CCM wengine wasaliti, siku mkija kumpata mchawi itakua too late
Kaka umeongea kama mtu wa football.Kwa mpira ni jambo la kawaida kabisa kupitia kwenye hali zote , Liverpool alisubiri miaka 30 kunusa kombe la epl , na kulaumu kwa mshabiki ni jambo la kawaida pia
Wachague sehemu moja ya kupeleka lawama zaoKwa mpira ni jambo la kawaida kabisa kupitia kwenye hali zote , Liverpool alisubiri miaka 30 kunusa kombe la epl , na kulaumu kwa mshabiki ni jambo la kawaida pia
Usiwapangie hata yanga walilalamika mpaka wakajipachika jina la utopolo, binafsi naona simba ipo vizuri sana , msimu uliopita walicheza fainali ya africa na kumaliza nafasi ya pili tena kwa game ya mwisho , na uchovu mwingi wa mechi mfululizo , kwa highlight ya game ya yanga pia walicheza vizuri mno ni vile tu mpira lazima uwe na matokeo.Wachague sehemu moja ya kupeleka lawama zao
Shukrani sana bwasheeKaka umeongea kama mtu wa football.
Kaka karibu kinywajii changamshii 🥃 🥃 Cheers
Msimu uliopita bila mbeleko za waamuzi wangekua nafasi ya nneUsiwapangia hata yanga walilalamika mpaka wakajipachika jina la utopolo, binafsi naona simba ipo vizuri sana , msimu uliopita walicheza fainali ya africa na kumaliza nafasi ya pili tena kwa game ya mwisho , na uchovu mwingi wa mechi mfululizo , kwa highlight ya game ya yanga pia walicheza vizuri mno ni vile tu mpira lazima uwe na matokeo.
Mbeleko mpka kucheza fainali shirikisho , kama simba mbovu imeweza kufika huko sipati picha simba imara itakuaje,.Msimu uliopita bila mbeleko za waamuzi wangekua nafasi ya nne
Huyo anae lalamikia Yanga kubebwa ilifikaje fainali shirikisho?Mbeleko mpka kucheza fainali shirikisho , kama simba mbovu imeweza kufika huko sipati picha simba imara itakuaje,.
Tufanye yanga bora ilifika fainali shirikisho na simba dhaifu pia ilifika fainali shirikisho, tuishie hapa.Huyo anae lalamikia Yanga kubebwa ilifikaje fainali shirikisho?
Watu waheshimu football sio wakishinda wao ni bora akishinda mwingine GSM mara CCM jana wamepata clear chances tano wanakosa lawama anapewa refaTufanye yanga bora ilifika fainali shirikisho na simba dhaifu pia ilifika fainali shirikisho, tuishie hapa.
Huwezi kuwapangia watu namna ya kuelezea hisia zao ,haya yallikua yanalalamikiwa hata ulaya ndio maana unaona ni kosa mpira kuwa na siasa , ndio maana unaona VAR , ndio maana unaona ni marufuku udhamin wa timu nyingi kwenye ligi mojaWatu waheshimu football sio wakishinda wao ni bora akishinda mwingine GSM mara CCM jana wamepata clear chances tano wanakosa lawama anapewa refa
Udhamini una haribu nini? Azam ambae pia ni mdhaimi wa ligi na FA cup anapata advantage gani kwenye matokeo? Simba anafungwa kila siku nae kadhaminiwa na GSM?Huwezi kuwapangia watu namna ya kuelezea hisia zao ,haya yallikua yanalalamikiwa hata ulaya ndio maana unaona ni kosa mpira kuwa na siasa , ndio maana unaona VAR , ndio maana unaona ni marufuku udhamin wa timu nyingi kwenye ligi moja
Unaniuliza mimi au unawauliza FIFA ? Naomba tuishie hapa .Udhamini una haribu nini? Azam ambae pia ni mdhaimi wa ligi na FA cup anapata advantage gani kwenye matokeo? Simba anafungwa kila siku nae kadhaminiwa na GSM?
FIFA hawajakataa udhamini wamekataa umiliki ndio maana Fly Emirates imedhamini timu kibao tu Europe na zinacheza champions LeagueUnaniuliza mimi au unawauliza FIFA ? Naomba tuishie hapa .
Huwezi kuwapangia watu namna ya kuelezea hisia zao ,haya yallikua yanalalamikiwa hata ulaya ndio maana unaona ni kosa mpira kuwa na siasa , ndio maana unaona VAR , ndio maana unaona ni marufuku udhamin wa timu nyingi kwenye ligi moja
GSM alifuata nini kwenye yanga day ,unafahamu pia zipo sheria za udhamini na mipaka yao kama itatokea atadhamini klabu zaidi ya moja zenye migongano ya kimaslahi ndani ya ligi?FIFA hawajakataa udhamini wamekataa umiliki ndio maana Fly Emirates imedhamini timu kibao tu Europe na zinacheza champions League
Naelewa wapi nimesema hajadhaminiMo kaisha dhamini Coastal union msimu huu