Captain ya Yanga Dickson Job akimtambia Captain wa Simba Shomari Kapombe kabla ya kuanza mchezo

GSM alifuata nini kwenye yanga day ,unafahamu pia zipo sheria za udhamini na mipaka yao kama itatokea atadhamini klabu zaidi ya moja zenye migongano ya kimaslahi ndani ya ligi?

Kibongo bongo kanuni nyingi sana zina vunjwa klabu zote tu
Una ongelea GSM mtu au taasisi?
 
Basi muache sasa kulia. Sauti zitakauka, na mtashikwa na homa. Derby ijayo atachezesha Tatu Malogo (katikati), Halafu waamuzi wasaidizi wawili wa pembeni watakuwa ni Kepha Kayombo na Japhet Smart.
 
Huwa napata mashaka na ushabiki wangu kwa timu hii pale inapohusishwa na chama la kijani.Sipendi kwakweli basi tu
 
Umeuliza swali la hovyo. Ni sawa na kusema; miaka yote wapinzani wanashindwa Uchaguzi, CCM huwa inakimbia na masanduku ya kura?
Wewe ndio umeleta mfano wa kipumbavu na kijinga, unafananishaje Soka na Siasa kama sio Upumbavu wa Kikolo?🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…