Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Am i the only one feeling this is a lil harsh..

Sijui yani..

Mbona kama anamfokea Mama yetu?.
Huko kufoka ni perception yako mkuu. Don't you feel irritated pia hilo bango la uanamke linapobebwa kila mahali? SADC pia chapuo la uanamke lilikuwa drummed like hell. I'm like hivi na hao wanaume waliotangulia nao pia walipaswa kubeba mabango ya uanaume kila mahali? Katiba inasema ma tutakuwa na Rais haisemi atakuwa wa jinsia gani why are we making it an agenda?
 
Tunao msapoti Samia tunajua kuna makosa atafanya ni ruksa kukosolewa..
Nyinyi mnae abudu Marehemu ndo kazi kwenu ..
Marehemu keshakufa hata mkimpamba ndo keshakufa
Na kafa na ujuaji wakee woteee ulee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmekosa kazi zakufanya mnadiscuss mambo yakipuuzi basi nanyie kuweni maraisi ili msifie jinsia zenu
 
Umesema kweli. Kuna voice note ya akina Bashiru na Sukuma Gang wenzie wakati JPM yuko amekufa na hawataki kutangaza. Anasikika Bashiru akisema "Yule Samia ni Mwanamke Hajui Kitu".

Ukiona Samia anasema mara kwa mara hayo maneno, na wewe huelewi, ujue hayakuhusu. Walengwa wanajuwa
 
Sasa tutaenda vizuri baada ya kupata mshauri kutoka UK
 
Kutokana na mfume dume uliyozoeleka ndiyo unamfanya mama kuwakumbusha kuwa raisi ni mwanamke.
 
Mm mwenyewe ananikera kweli kweli, inferiority complex indeed!!!,

Tatizo kule kwao Zanzibar mwanamke si kitu kwenye uongozi ndio maana anajitutumua sana Kila kukicha.
 
Its exhausting yahh.,
Bt presentation ya Caro mhh.,

Ukitaja kujua its a lil distasteful soma hayo maneno exact like ur talking to your mom ndo utajua.,they could have been a lil softer
 
Mbona hata wakati wa Magufuli alisema, au umesahau? Aliweka Hadi waraka humu
Kifupi huyu sio mnafki
Hajui kutofautiana Sasa hatukai kukosoana, ila kikubwa kuwa wavumilivu na kuheshimu opinions za wengine, ka yeye anavotaka kukosoa wengine
 
Yes maana kina Bashiru walimwambia mama a step down Tanzania haiko tayari kuongozwa na mwanamke, Sasa obviously hayo maneno yalimuumiza na sioni shida mtu kutoa dukuduku la moyoni as long as haumizi mtu, so I wonder wanaomshambulia eti anatumia uanauke wake ka excuse na Carol bila kutafakari akalibeba Hilo neno la ma clout chaser wa kisiasa bila kujua hicho ni kijembe kwa wahusika flani.
 
Hajiamini. Anahisi katika jamii mwanamke anaonekana ni kiumbe dhaifu sn.
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Hakika.
 
N kweli hajiamini, maana sjaona haja ya yy kutambulisha jinsia yake wakat tunaijua.

Huenda n kwa kuwa hiyo nafasi hakuwah kuiota n kama zari, sasa yapasa walio karbu nae wampe kujiamini na pia wamshaur aache kujitambulisha tambulisha jinsia yake maana tunaijua.
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Umenena vyema. Wanaojifanya magwiji wa kukosoa hivi sasa kipindi cha jiwe walifyata mikia yao.
 
Kuhutubia bila kusoma sio ujanja. Karama zinatofautiana.

Wengine wana uwezo wa kuhutubia sana ila uwezo wa kutenda mdogo.

Wengine wanao uwezo wa kutenda ila kuhutubia hawawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…