Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Inategemea context. Rais ameongea katika muktadha gani? Hata Sisi wanaume huwa tunapenda kuzungumzia jinsia zetu katika utendaji. Kwa mfano, mimi ni mwanaume siwezi.

Yote kwa yote, wanaume na wanawake tumeumbwa na Mungu kama binadamu sawa. Utofauti wa nafsi moja na nyingine upo hata miongoni mwa wanaume. Kuna wanaume hopeless kabisa na kuna wanaume vichwa. As well as wanawake wapo vichwa. Tuna Rais jasiri na imara. SHH.

Cc CarolNdosi.
Sasa Kila siku? Unaisemea!
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Mkuu nakuunga mkono huyu dada kipindi cha RC Makonda tamasha lake la nyama choma festival lilipiwa ban ....alilia mbayaaa akatoka na na bamdiko moja kubwaa sanaa akimlalamikia PCM, lkn naona sasa ah anatambaaa anakosoa na kukosoa hata amesha sahau kosago alicho pataga 😆😆😆
 
Co wakristo tu hata waisilamu wasiojitambua pia wako wanaomchukia, wafuata mkumbo. But asilimia kubwa wanaomchukia na kumsema vibaya ni wakristo. Acha ubishi, fanya research ujionee mwenyewe.

Na usiniambie mimi ni mdini, so ukiongea ukweli bac ni mdini!!!!
Huyo rais mwanamke ni mshamba wa kupangua pangua ila ufanisi ni sifuri. Jiwe alikuwa dikteta lakini at least alijua anachokisimamia ila huyu yupo yupo na ngonjera nyingi. Oh mimi mkali oh zingua nikuzingue mara oh rangi yangu sijui imefanyaje. Kama rangi hata kinyonga anayo.
 
Msipindishe maneno, semeni tu ukweli hamkupenda Muisilamu atuongoze, butt co wote.
 
Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.

Tumetoka mbali sana.

Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.

Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.

Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Hivi umeongea nn
 
Mimi nafikiri Urais ni system sio mtu mmoja, Ila Kuna baadhi ya vipindi tumepitia vimetuaminisha kwamba Rais ndiye mwenye kauli ya mwisho, Katika baadhi ya maamuzi yenye masrahi maana kwa Taifa.... [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa mara kila apatapo nafasi kuwa yeye ni mwanamke wakati kila mtanzania anajua kuwa yeye ni mwanamke.

Carol Ndosi anasema kuwa Rais Samia yeye ni Rais hapaswi kuendelea kujificha nyuma ya kimvuli cha uanamke kwani hilo si jambo zuri na haipendezi kwa Rais kuwa na hofu ya uanamke wake bali anatakiwa ajue watu wanamuamini kama Rais si kama mwanamke.

Amesema pengine Rais Samia anapitia mambo mengi kwenye chama chake au kwa watu wanaomzunguka kwa sababu ya uanamke wake lakini yeye kama Rais hatakiwi kuitumia kama ngao kwani yeye ni Rais na watu wanajua ni mwanamke hatakiwi kuwakumbusha watu, haipendezi.

Chanzo: TV-E/E-FM
Naunga mkono hoja.
 
Tunao msapoti Samia tunajua kuna makosa atafanya ni ruksa kukosolewa..
Nyinyi mnae abudu Marehemu ndo kazi kwenu ..
Marehemu keshakufa hata mkimpamba ndo keshakufa
Hawa watu Wana agenda yao maana mtu alishakufa Ila wao bado tu wanamsujudu as if yupo ili apewe uongozi. Washenzi sana walitaka kutuharibia nchi kwa uroho wa madaraka.

Hebu imagine mpaka leo hii tungekuwa na yule mtu aise maisha yengekuwaje? Watuwote alitifanya kama mabwege tu. Blaaaalifaken
 
Mungu ni mkubwa,,,aliwahi kumchukuwa kabla nchi haijaenda pabaya,,na kisha akatuletea mama mwenye heri na watanzania wote bila kujali, udini, ukabila n.k
 
Baada ya kuona hakuna uwezekano wa kuteuliwa kwenye serikali ya Mama Samia, akili imeanza kumkaa mwana mama Carol. Kuna kipindi alikua anasifia mpaka anabore, Sasa naona ameanza kuongea. Good.
 
Hapana,,,habari ndiyo iyo,,ingawa hata baadhi ya waisilamu wanamchukia.
Tatizo hajuia analolifanya. Analeta porojo mfano mmoja wa porojo ni suala la machinga mara wapangwe mara waondolewe. Kipi ni kipi? Huwataki simple tu , sema siwataki waondolewe. Sio kuleta porojo za kisiasa.
 
Huyu mama iko wazi uwezo wa kuwa kiongozi wa nchi hana.

Kila hotuba yake yeye anatanguliza jinsia yake, kila hotuba atatangazia watu jinsia yake.

Miezi 7 sasa mila hotuba ni jinsia yake, kila akisimama lazima ataje jinsia yake. Hii ni ile kitaalam tunaita inferiority complex disorder, ni ugonjwa wa akili.

Huyu mama uwezo wa kua raia hana. Hilo liko wazi. Kuna mataahira yake yanataka apewe hadi 2030, tatizo uwezo hana.

Ukitaka kujua huyu mama hakuna kitu, ahutubie bila kusoma hutuba, unaweza kulia, vyote atakavyoviongea havina maana yoyote.

Hii nchi ina safari ndefu ya maendeleo.
SAMIA ANAPAMBANA NA MFUMO DUME PERIOD HAMNA THIS THIS WHAT WHAT........NI NAMNA YAKE YAKUONGEA HATA ANGEKAA HAPO MWANAMKE MWINGINE WIMBO UNGEKUWA NI HUO HUO MATAMSHI NI TOFAUTI
 
Mwanamke na uongozi wapi na wapi.
+ Na asili yake + tena imani yake,+ chama chake + na namna alivyopata hayo madaraka.
 
Wewe Pendael24 ni mwanaume? Unaongoza nini zaidi ya pumbu zako? Acheni dharau kwa Rais Samia anaipeleka nchi vizuri
Anaongoza nchi vizuri wapi na kwa namna gani?

Umetumia kipimo gani kwamba anaongoza nchi vizuri?

Rais anayeongoza nchi vizuri ulisikia lini na wapi analaumu na kukejeli vijana kwa kukosa ajira?

Rais ameshindwa kutengeneza hata ajira kwa vijana wetu halafu unatwambia kuwa anaongoza vizuri?

Angalia hotuba za Rais wa developed countries wanapokuwa wanahutubia. Huwa hawalaumulaumu wala kulialia hata siku moja mara mimi ni Rais Mwanamke au Mwanaume.

Utasikia tu katika utawala wangu nimefanikiwa kutengeneza hiki na hiki mfano ajira kadhaa na natarajia kutengeneza ajira zingine kadhaa.

Rejuvenate your mind brother.
 
Actually your are the one to rejuvenate your mind........kwani kilio cha Ajira kimeanzia awamu hii?? kuna mtu aliwaambia watu wenye degree wafungue visoda, tuanzie hapo, Mwengine aliwadhihaki hadi watu waliokuwa kwenye majanga kwanini mnapenda kushambulia shambulia tuu kama mmekatwa vichwa asiee
 
Back
Top Bottom