Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Kuna kitu kikubwa sana anataka kukisema hapa lakini anaogopa. Ndiyo utajiri una siri nyingi na ndiyo maana wanaotajirika ni wachache. Ila naye inabidi aseme: ina maana sasa hivi hana tamaa za kifedha? πππMwisho, Hamisa ametoa wito na ushauri kwa jamii kuweka mbele kumtanguliza Mungu katika kila jambo badala ya kuendekeza tamaa za kifedha, kwani ni vigumu kujua vyanzo halisi vya utajiri wa baadhi ya watu
Duhπ€MCHIIII HUYO ANYAMAZE KABISA TENA ANYAMAZE TUNAJUA MENGI KUMHUSU HUYU NI MUWANGAJI KONKODI, ALOENDA KWA MGANGA KUMROGA DIAMOND BAHATI MBAYA MGANGA NAYE MBEA KAYALETA KWENYE HADHARA NA USHAHIDI WA VIDEO, NYAMAZA KABISA HUYO DEMU, ANA PIGO ZA KICHAWI ANYAMAZE WATU WANA FAHAMU YAKE MENGI
Muone hivohivo huyu demu sio poa, asione una hela kwake ni hatari atafight Hadi umlale kama huna wakukustua inakula kwakoDuhπ€
Duhπ€
Vujisheni mambo ya wezi wa taifa letu sio upuuzi wenu huuu! Kwa hiyo ndio inasaidia nini? Tujadili umalaya wa watu hapa kweli na hali ya nchi ilivo ivi. Wapuuzi nyie komeni kwa ujinga huuMambo mapya yameibuka kwenye mitandao ya kijamii baada ya aliyekuwa mwanahabari wa burudani, Carry Mastory, kuzungumzia sakata linalomuhusu mwanamitindo Hamisa Mobetto na kuvujisha sauti (voice note) inayohusu utambulisho wa baba mzazi wa mtoto wake, Dylan .
Katika maelezo hayo, Hamisa Mobetto amesisitiza kwa kukiri kuwa msanii Diamond Platnumz ndiye baba halisi wa mtoto huyo, akieleza kuwa yeye kama mama ndiye mwenye uelewa na ukweli kamili wa nani baba mzazi wa mwanaye .
Kupitia sauti hiyo, Hamisa pia amefunguka kuhusu changamoto na siri nyingi alizopitia wakati yupo kwenye mahusiano na Diamond Platnumz pamoja na mama yake mzazi, Mama Dangote.
Ameeleza kuwa hatua ya familia hiyo kumkana na kutomweka wazi mtoto huyo kwenye jamii inatokana na tofauti zao za nyuma , huku akidai kuwa miongoni mwa sababu za msingi za kumpiga vita ni yeye kukataa kujiunga katika makundi au mambo ambayo hakuwa radhi nayo .
Mwisho, Hamisa ametoa wito na ushauri kwa jamii kuweka mbele kumtanguliza Mungu katika kila jambo badala ya kuendekeza tamaa za kifedha, kwani ni vigumu kujua vyanzo halisi vya utajiri wa baadhi ya watu
Kaka naona hutaki mchezo kabisa.Vujisheni mambo ya wezi wa taifa letu sio upuuzi wenu huuu! Kwa hiyo ndio inasaidia nini? Tujadili umalaya wa watu hapa kweli na hali ya nchi ilivo ivi. Wapuuzi nyie komeni kwa ujinga huu
Nakumbuka ile video sikutegemea kabisa Hamisa anaweza kuamini katika mambo ya kishirikina ina maana alimpendea Diamond hela mpaka kufikia kwenda kwa mganga kumroga ili apendwe hiyo ni level ya juu ya upumbavu kwa mwanamke mwenye umasikini wa akiliMCHIIII HUYO ANYAMAZE KABISA TENA ANYAMAZE TUNAJUA MENGI KUMHUSU HUYU NI MUWANGAJI KONKODI, ALOENDA KWA MGANGA KUMROGA DIAMOND BAHATI MBAYA MGANGA NAYE MBEA KAYALETA KWENYE HADHARA NA USHAHIDI WA VIDEO, NYAMAZA KABISA HUYO DEMU, ANA PIGO ZA KICHAWI ANYAMAZE WATU WANA FAHAMU YAKE MENGI
Oya kama mbwai mbwai tu!Kaka naona hutaki mchezo kabisa.
Hatari mzeerNakumbuka ile video sikutegemea kabisa Hamisa anaweza kuamini katika mambo ya kishirikina.
Yule manzi ukimuangalia na matendo yake ni vitu viwili tofauti unakuaje pisi Kali halafu unaenda kwa mganga uroge ili upendwe how ???Hatari mzeer
Kijana anasema ana meng ya Hamisa, kanistuaUmeshtuka vibaya, kulikoni?? ππππ
Ndio zake anataka azae na matajiri wote wa bongo, hatak watafutaji anataka waliopata tu, nadhani washamsomaYule manzi ukimuangalia na matendo yake ni vitu viwili tofauti unakuaje pisi Kali halafu unaenda kwa mganga uroge ili upendwe how ???
Yaani kama Mademu ambao siwaelewi na sitokuja kuwaelewa ni huyu Mobetto pamoja na muonekano wake anaonekana kidogo kisaikolojia hayupo sawa.Yule manzi ukimuangalia na matendo yake ni vitu viwili tofauti unakuaje pisi Kali halafu unaenda kwa mganga uroge ili upendwe how ???
Kwa njia hiyo aliyoichagua akubali kudharauriwaNdio zake anataka azae na matajiri wote wa bongo, hatak watafutaji anataka waliopata tu, nadhani washamsoma