Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Asha olewa tayari na Aziz k ngoja labda akinusa pesa inakaribia kukata atakimbiaKwa njia hiyo sliyoichagua akubali kudharauriwa
Asha olewa tayari na Aziz k ngoja labda akinusa pesa inakaribia kukata atakimbiaKwa njia hiyo sliyoichagua akubali kudharauriwa
Huyu manzi anachangia kuwaharibu wanawake ndio maana tunazalisha wanawake wengi wanaodangaYaani kama Mademu ambao siwaelewi na sitokuja kuwaelewa ni huyu Mobetto pamoja na muonekano wake anaonekana kidogo kisaikolojia hayupo sawa.
Ukiwa mwanamke akili ukawa hauna sehemu za Siri ndio zinaumiaYaani kama Mademu ambao siwaelewi na sitokuja kuwaelewa ni huyu Mobetto pamoja na muonekano wake anaonekana kidogo kisaikolojia hayupo sawa.
Aliyetuharibia mabinti ni yule Miss Tanzania mwaka 2006Huyu manzi anachangia kuwaharibu wanawake ndio maana tuzalisha wanawake wengi wanaodanga
Mwanaume anae oa huyu dada namuona akili Hana uzuri au shape ya mtu lazima utaichoka lakini akili ndio inayofanya uishi na mwanamke muda mrefuAsha olewa tayari na Aziz k ngoja labda akinusa pesa inakaribia kukata atakimbia
Huyu kutuharibia kwa millennials ila Hamisa kwa hawa wa buku beeAliyetuharibia mabinti ni yule Miss Tanzania mwaka 2006
Kabisa mkuu ila nao Huwa wanabadilikaga, wanakua wife material si unajua umri sio rafikiMwanaume anae oa huyu dada namuona akili Hana uzuri au shape ya mtu lazima utaichoka lakini akili ndio inayofanya uishi na mwanamke muda mrefu
Nimeona video yake mitandaoni kwenye ile show aliyofanya Marioo dar anacheza huku akiwakatikia viuno wanaume huku akisema kwa tako hili naachaje kutuzwa Sasa kama wewe ndio muwe wake unafanyaje au ndio unaendelea kushika maneno yakoKabisa mkuu ila nao Huwa wanabadilikaga, wanakua wife material si unajua umri sio rafiki
Nipo kitandani hapa Ila hamisa anajua ku kat woku bhn 😆 😆..... Na kujiweka ki galishi i love it..... Nilimwelkza ex wife alielewa kiasi ishu ilikuwa kiuno utafikiri contena kwenye mende pale kongoweKuna nini tena bado hujafika tu nyumbani😁
Hahahah ungemtafutia kungwi, videos kila kona mitandaoni👌🏽 hamisa anajiweka vile kw atargets kubwa kubwa, anajua anacholenga sio machokoraa.. acha apambanie ulaji!Nipo kitandani hapa Ila hamisa anajua ku kat woku bhn 😆 😆..... Na kujiweka ki galishi i love it..... Nilimwelkza ex wife alielewa kiasi ishu ilikuwa kiuno utafikiri contena kwenye mende pale kongowe
Kuna kitu kikubwa sana anataka kukisema hapa lakini anaogopa. Ndiyo utajiri una siri nyingi na ndiyo maana wanaotajirika ni wachache. Ila naye inabidi aseme: ina maana sasa hivi hana tamaa za kifedha? 😂😂😂
Hahahahahaha Kuna muhudumu kasema sijalipa duuh 🤣 na nipo bed aapaHahahah ungemtafutia kungwi, videos kila kona mitandaoni👌🏽 hamisa anajiweka vile kw atargets kubwa kubwa, anajua anacholenga sio machokoraa.. acha apambanie ulaji!
Kwanini umetumia aliyekuwa? Kwasasi siyo Mwanahabari?aliyekuwa mwanahabari wa burudani, Carry Mastory,
Mwmavie amekosea namba😂Hahahahahaha Kuna muhudumu kasema sijalipa duuh 🤣 na nipo bed aapa
Bro samahani lakini? unajishughulisha na nin hapa mjini?MCHIIII HUYO ANYAMAZE KABISA TENA ANYAMAZE TUNAJUA MENGI KUMHUSU HUYU NI MUWANGAJI KONKODI, ALOENDA KWA MGANGA KUMROGA DIAMOND BAHATI MBAYA MGANGA NAYE MBEA KAYALETA KWENYE HADHARA NA USHAHIDI WA VIDEO, NYAMAZA KABISA HUYO DEMU, ANA PIGO ZA KICHAWI ANYAMAZE WATU WANA FAHAMU YAKE MENGI
Sina kazi kaka, unataka kuniajiriBro samahani lakini? unajishughulisha na nin hapa mjini?
Mhhh acha chuki....MCHIIII HUYO ANYAMAZE KABISA TENA ANYAMAZE TUNAJUA MENGI KUMHUSU HUYU NI MUWANGAJI KONKODI, ALOENDA KWA MGANGA KUMROGA DIAMOND BAHATI MBAYA MGANGA NAYE MBEA KAYALETA KWENYE HADHARA NA USHAHIDI WA VIDEO, NYAMAZA KABISA HUYO DEMU, ANA PIGO ZA KICHAWI ANYAMAZE WATU WANA FAHAMU YAKE MENGI