Carry Mastory Avujisha Sauti ya Hamisa Mobetto Kuhusu Baba Mzazi wa Mtoto Wake (Dylan)

Binafsi sipendi mtu aniambie naomba ninunulie bia ama pombe ukinifurahisha utapata either kucheza, kuhudumia sasa mtu kakuona tuu huyo naomba beer 😂 🤩

Me mkimya aseeh
Mimi pia sipendi mtu aninumulie beer wala kuexpect chochote kutoka kwangu
 
Mwanaume anae oa huyu dada namuona akili Hana uzuri au shape ya mtu lazima utaichoka lakini akili ndio inayofanya uishi na mwanamke muda mrefu
Wakati unamuona hana akili mwenzio ana followers zaidi ya milioni kumi, ana miliki maduka na brand yake ya Mobetto, ni balozi wa makampuni makubwa, watoto wake wanasoma shule nzuri na wanaishi pazuri, mama ake anaishi maisha mazuri, anatembelea G Wagon, ana uwezo wa kusafiri nchi yoyote, muda wowote..... sasa chukua kioo kikubwa jitizame wewe unamfikia kwenye lipi, Missa sio level zile ameshavuka huko ni muda sasa mpone hayo majeraha aliyowaachia.
 
Sema kudanga ndio kumemlipa sio juhudi zake yeye kama yeye
 
Back
Top Bottom