Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sijawahi kua shabiki wa diamond, Wala Sina time nae, kuhusu mtoto nmeshindwa kukuelewa mana sijaongelea mambo ya mtoto Mimi, na sijui chochote kuhusu huyo mtoto, simjui hata mi na ongelea ni tabia za huyu demu anapo sema ushirikina inabidi nae akumbuke kua sio msafi na Alisha kamatwa alienda kuroga mtu usha jiuliza ingetokea akakosea masharti mtu aka chizi huoni hasara kubwa Kwa mwenzake angesababisha? Mi hawani husu ila asijifanye msafiMhhh acha chuki....
Hao kina Dimond na familia yake nao wanga tuu..
Kikubwa walee mtoto wao mnataka asimjue mwanae ndo kashazaa nae Dimond amlee mwanae...
Mbona Hamisa kwa sasa ni level z juu sana kimaisha? Ana ubalozi wa makampuni kibao...
Hata kama alikosea kwa hilo nani ni msafi sana hapo kwny hyo familia?