Carry Mastory Avujisha Sauti ya Hamisa Mobetto Kuhusu Baba Mzazi wa Mtoto Wake (Dylan)

Kabisa mkuu ila nao Huwa wanabadilikaga, wanakua wife material si unajua umri sio rafiki
Nimeona video yake mitandaoni kwenye ile show aliyofanya Marioo dar anacheza huku akiwakatikia viuno wanaume huku akisema kwa tako hili naachaje kutuzwa Sasa kama wewe ndio muwe wake unafanyaje au ndio unaendelea kushika maneno yako
 
Nipo kitandani hapa Ila hamisa anajua ku kat woku bhn 😆 😆..... Na kujiweka ki galishi i love it..... Nilimwelkza ex wife alielewa kiasi ishu ilikuwa kiuno utafikiri contena kwenye mende pale kongowe
Hahahah ungemtafutia kungwi, videos kila kona mitandaoni👌🏽 hamisa anajiweka vile kw atargets kubwa kubwa, anajua anacholenga sio machokoraa.. acha apambanie ulaji!
 
Kuna kitu kikubwa sana anataka kukisema hapa lakini anaogopa. Ndiyo utajiri una siri nyingi na ndiyo maana wanaotajirika ni wachache. Ila naye inabidi aseme: ina maana sasa hivi hana tamaa za kifedha? 😂😂😂

Kikombe moto, chai moto.....kwani huko aliko amekaa salama?

Si alisema hawezi date maskini?😂😂😍😍😍😍😍
 
Bro samahani lakini? unajishughulisha na nin hapa mjini?
 
Mhhh acha chuki....
Hao kina Dimond na familia yake nao wanga tuu..
Kikubwa walee mtoto wao mnataka asimjue mwanae ndo kashazaa nae Dimond amlee mwanae...
Mbona Hamisa kwa sasa ni level z juu sana kimaisha? Ana ubalozi wa makampuni kibao...
Hata kama alikosea kwa hilo nani ni msafi sana hapo kwny hyo familia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…