Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Sijawahi kua shabiki wa diamond, Wala Sina time nae, kuhusu mtoto nmeshindwa kukuelewa mana sijaongelea mambo ya mtoto Mimi, na sijui chochote kuhusu huyo mtoto, simjui hata mi na ongelea ni tabia za huyu demu anapo sema ushirikina inabidi nae akumbuke kua sio msafi na Alisha kamatwa alienda kuroga mtu usha jiuliza ingetokea akakosea masharti mtu aka chizi huoni hasara kubwa Kwa mwenzake angesababisha? Mi hawani husu ila asijifanye msafiMhhh acha chuki....
Hao kina Dimond na familia yake nao wanga tuu..
Kikubwa walee mtoto wao mnataka asimjue mwanae ndo kashazaa nae Dimond amlee mwanae...
Mbona Hamisa kwa sasa ni level z juu sana kimaisha? Ana ubalozi wa makampuni kibao...
Hata kama alikosea kwa hilo nani ni msafi sana hapo kwny hyo familia?
Kaka mi ni admin wa baadhi ya pages ndio kazi YANGU hivo kushinda MTANDAONI masaa 24 hii ndo kazi YANGU na mtu kama wewe navokujibu nakukusikiliza ndio kazi YANGU nalipwa mashahara na maisha yangu yanenda, Asante na karibuBro samahani lakini? unajishughulisha na nin hapa mjini?
Njoo sasa nikuonyeshe mfano ooh, nipo laivu uuh nikuonyeshe mfano ooh 😆Mwmavie amekosea namba😂
Hebu nionyeshe jamani mwee😂Njoo sasa nikuonyeshe mfano ooh, nipo laivu uuh nikuonyeshe mfano ooh 😆
Hahahaha 😂Hebu nionyeshe jamani mwee😂
Tayariii😂😂Hahahaha 😂
So mtaji roho mbaya,
Mola so mpaji, roho mbaya
So mtaji roho mbaya
Mola so mpaji roho mbaya
wala hamnizidi kwa kuendekeza umimi,
Mola yu pamoja nami
Kisha nampatia doze impayo usingizii 😅😆Tayariii😂😂
Uko chupa ya ngapi mazee😅Kisha nampatia doze impayo usingizii 😅😆
29 Oct ulijifinyanga uvunguni mwa kitanda, sasa hivi umeibuka na wezi wa taifa!Vujisheni mambo ya wezi wa taifa letu sio upuuzi wenu huuu! Kwa hiyo ndio inasaidia nini? Tujadili umalaya wa watu hapa kweli na hali ya nchi ilivo ivi. Wapuuzi nyie komeni kwa ujinga huu
Hata umbea si tatizo.
Hao machokoraa ni wa kina nani hapa mjiniHahahah ungemtafutia kungwi, videos kila kona mitandaoni👌🏽 hamisa anajiweka vile kw atargets kubwa kubwa, anajua anacholenga sio machokoraa.. acha apambanie ulaji!
Mkubwa DC wa pili, unanifurahisha sana siku hizi unavyo socialize na watu, nashangaa siku hizi hadi Nikki mbishi kawa mshikaji wako, sema nini mkuu punguza code za ki corporate, kuna sehemu zingine unaweza vaa causal tuu na bado heshima ikabaki pale paleJiji Lina mambo mengi sana hili
Unadhani mimi ni chawa kama wewe?29 Oct ulijifinyanga uvunguni mwa kitanda, sasa hivi umeibuka na wezi wa taifa!
Wanajijuaa😎Hao machokoraa ni wa kina nani hapa mjini
Sasa unamringia nani,Uko chupa ya ngapi mazee😅
Hahahhaa kumbe nyie wakaka wakimya huwa mnatuchora sio! Hamtaki yale mazoea ya kaka ninunulie bia moja basi😂Sasa unamringia nani,
Hao unaowaringia ndiyo waliokupa umarufu mjini 😅
Muhogo wa jang'ombe sijaulamba mwiko usitukane wakunga na uzazi ungalipo ooh
Hamna kujichetua tu akili
Huwezi amini yule dada jana anasema, Ila we kaka ni mpole hadi raha angejua ni mazoea sitaki ya nichukue kwa bill ya baby 😆😅
Binafsi sipendi mtu aniambie naomba ninunulie bia ama pombe ukinifurahisha utapata either kucheza, kuhudumia sasa mtu kakuona tuu huyo naomba beer 😂 🤩Hahahhaa kumbe nyie wakaka wakimya huwa mnatuchora sio! Hamtaki yale mazoea ya kaka ninunulie bia moja basi😂