Mimi pia sipendi mtu aninumulie beer wala kuexpect chochote kutoka kwanguBinafsi sipendi mtu aniambie naomba ninunulie bia ama pombe ukinifurahisha utapata either kucheza, kuhudumia sasa mtu kakuona tuu huyo naomba beer π π€©
Me mkimya aseeh
Ewaaah mtu afanye ile amependa ndo inakuwa nzuri zaidiMimi pia sipendi mtu aninumulie beer wala kuexpect chochote kutoka kwangu
Wakati unamuona hana akili mwenzio ana followers zaidi ya milioni kumi, ana miliki maduka na brand yake ya Mobetto, ni balozi wa makampuni makubwa, watoto wake wanasoma shule nzuri na wanaishi pazuri, mama ake anaishi maisha mazuri, anatembelea G Wagon, ana uwezo wa kusafiri nchi yoyote, muda wowote..... sasa chukua kioo kikubwa jitizame wewe unamfikia kwenye lipi, Missa sio level zile ameshavuka huko ni muda sasa mpone hayo majeraha aliyowaachia.Mwanaume anae oa huyu dada namuona akili Hana uzuri au shape ya mtu lazima utaichoka lakini akili ndio inayofanya uishi na mwanamke muda mrefu
Sema kudanga ndio kumemlipa sio juhudi zake yeye kama yeyeWakati unamuona hana akili mwenzio ana followers zaidi ya milioni kumi, ana miliki maduka na brand yake ya Mobetto, ni balozi wa makampuni makubwa, watoto wake wanasoma shule nzuri na wanaishi pazuri, mama ake anaishi maisha mazuri, anatembelea G Wagon, ana uwezo wa kusafiri nchi yoyote, muda wowote..... sasa chukua kioo kikubwa jitizame wewe unamfikia kwenye lipi, Missa sio level zile ameshavuka huko ni muda sasa mpone hayo majeraha aliyowaachia.
Uzi ufungweSema kudanga ndio kumemlipa sio juhudi zake yeye kama yeye
Wanajiita bossy lady mara strong woman kumbe nyuma ya pazia ni maisha ya kudanga yale maduka yao ni kama pambo tuUzi ufungwe
Ova
Kadange na wewe tuone kama utafikia hata robo ya maisha yakeSema kudanga ndio kumemlipa sio juhudi zake yeye kama yeye
Tafuteni role model wanaojitambua kama kina Niffer yule anaishi mjini kwaajili ya TakoKadange na wewe tuone kama utafikia hata robo ya maisha yake