CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu

Hizo gharama mnazotumia lengo tu mpewe point 3? Mpira ni burudani wanachama wanahitaji burudani kwann msitumie uungwana tu mechi ipangwe upya na ichezwe kuliko gharama ya fedha, muda mnaotumia huko CAS?
 
Mbona professor Majalalani hajatajwa 🤣🤣
 
Hizo gharama mnazotumia lengo tu mpewe point 3? Mpira ni burudani wanachama wanahitaji burudani kwann msitumie uungwana tu mechi ipangwe upya na ichezwe kuliko gharama ya fedha, muda mnaotumia huko CAS?
Mnavunja kanuni kwa maksudi mnataka yanga watumie "uungwana" kwani mpira wa Tanzania unaongozwa kwa uungwana na busara badala ya kanuni!?

Nimependa hatua ya Yanga...italeta heshima na kuondoa uswahili kwenye soka letu.

Bado VAR tu sasa wafunge VAR msimu wa 2025/26 iwe ni fair bin fair. Hatutaki janjajanja.

Namungo anaweza kuwa bingwa wa ligi kuu. Kanuni zikifuatwa.
 
Si mara ya kwanza Yanga kushtaki CAS au kushtakiwa CAS, hasa na wachezaji na makocha. Hukumu zote zilizotoka aliyepata aibu anajulikana
Mbumbumbu Leo mtaropokwa maneno ya kutosha
 
Mnavunja kanuni kwa maksudi mnataka yanga watumie "uungwana" kwani mpira wa Tanzania unaongozwa kwa uungwana na busara badala ya kanuni!?
Ukiacha ushabiki wa usimba na Yanga kile utakachokiwaza baada ya hapo ndio akili Yako halisi.
 
Habari yenyewe mbona Iko kipande?

Simba wajibu nini? Maana tungeona Simba wanachotakiwa kujibu, labda mjadala ungekuwa wa maana.

Kwa hivi habari ilivyoletwa, ni utopolo mtupu kujadili.
Umesoma hiyo barua attached au lugha boss??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hapo mashtaka ni yapi. Mbona sijaona sehemu yoyote Simba akishtakiwa kwa lolote lile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…