Ustaarabu kaka una uwanda mpana sana.Usomi ndio unaozaa ustaarabu ndugu yangu hata hapa Tanzania. Ukitembea utaona effect ya elimu katika ustaarabu wa Sehemu mbalimbali za nchi.
Nimekuambia kama mtu ana hela kwa nini asiwaaajiri watu wa nchi nyingine ambayo haina Maslahi na Israel ? Sijawapangia Maisha ninakwambia tu ni sawa umjengee kimada nyumba ambaye kutwa anamsumbua mke wako huku Mama yako anaishi kwenye nyumba ya udongo.Umewapangia maisha Saudia unahoji kwa nini walindwe na Marekani au siyo wewe?
Ustaarabu kumuheshimu mtu kama binadamu na yeye anakuheshimu. Mimi sikubaliani na mashoga na siwezi kuwa na urafiki nao. Lakini kazini kuna mabosi ni mashoga, wanavuta Unga, sigara na Bangi lakini kazi wanapiga kama mchwa. Ni mara mia nifanye kazi na watu kama hawa kuliko mtu anayekesha kanisani au msikitini lakini kazini ni kulalamika na kutotimiza wajibu/projections kwa wakati.Ustaarabu kaka una uwanda mpana sana.
Ustaarabu hauji na usomi tu bro hadi malezi yanachangia ustaarabu pia hadi utamaduni unachangia ustaarabu.
Pia kulingana na tamaduni unaweza ukasema ule sio ustaarabu ila wenzako wakaona ndio ustaarabu.
Labda nikutolee mfano,wanaume kuingiliana kinyume ni ustaarabu kwa tamaduni za KiAfrika??
Ila ukienda Ulaya wanaume kulawitiana ni ustaarabu.
Hapo nadhani utaelewa nini nilikua najaribu kulenga.
Huo mfano wako mbona haufanani na hoja iliyopo? Hicho ulichosema ndiyo unampangia pesa za kwake wewe unataka kumuelekeza jinsi ya kuzitumia kama anaona Marekani ndiyo mlinzi mzuri kwako wewe unaumia nini?Nimekuambia kama mtu ana hela kwa nini asiwaaajiri watu wa nchi nyingine ambayo haina Maslahi na Israel ? Sijawapangia Maisha ninakwambia tu ni sawa umjengee kimada nyumba ambaye kutwa anamsumbua mke wako huku Mama yako anaishi kwenye nyumba ya udongo.
Nimekuambia kama mtu ana hela kwa nini asiwaaajiri watu wa nchi nyingine ambayo haina Maslahi na Israel ? Sijawapangia Maisha ninakwambia tu ni sawa umjengee kimada nyumba ambaye kutwa anamsumbua mke wako huku Mama yako anaishi kwenye nyumba ya udongo.
Upo Ulaya lakini unaleta porojo za kwenye vijiwe vya mbege watu weusi wenye elimu zao Arabuni wanalipwa vizuri tu kwenye fani zao wewe hizi habari umezipata wapi?Ustaarabu kumuheshimu mtu kama binadamu na yeye anakuheshimu. Mimi sikubaliani na mashoga na siwezi kuwa na urafiki nao. Lakini kazini kuna mabosi ni mashoga, wanavuta Unga, sigara na Bangi lakini kazi wanapiga kama mchwa. Ni mara mia nifanye kazi na watu kama hawa kuliko mtu anayekesha kanisani au msikitini lakini kazini ni kulalamika na kutotimiza wajibu/projections kwa wakati.
Kitu kama haki za binadamu na mwajiriwa nimekuambia Uarabuni Mtu mweusi hauwezi kulipwa sawa na Mwarabu kama cheo chenu ni kimoja. Na Waarabu wanalipwa kitofauti kutokana na koo au caste zao. Hii kitu ipo India sio Uarabuni tu mimi nashangaa kuona watanzania tunawatukuza watu hawa.
Unajichanganya.Ustaarabu kumuheshimu mtu kama binadamu na yeye anakuheshimu. Mimi sikubaliani na mashoga na siwezi kuwa na urafiki nao. Lakini kazini kuna mabosi ni mashoga, wanavuta Unga, sigara na Bangi lakini kazi wanapiga kama mchwa. Ni mara mia nifanye kazi na watu kama hawa kuliko mtu anayekesha kanisani au msikitini lakini kazini ni kulalamika na kutotimiza wajibu/projections kwa wakati.
Kitu kama haki za binadamu na mwajiriwa nimekuambia Uarabuni Mtu mweusi hauwezi kulipwa sawa na Mwarabu kama cheo chenu ni kimoja. Na Waarabu wanalipwa kitofauti kutokana na koo au caste zao. Hii kitu ipo India sio Uarabuni tu mimi nashangaa kuona watanzania tunawatukuza watu hawa.
Ww jamaa ni mjivuni sana bila shaka utakuwa muhaya.Asante sana nimetoka Tanzania sio kwa kusaidiwa na sio kwa scholarship bali kwa pesa yangu mwenyewe. Sina mpango wa kuzamia Ulaya nikimaliza kilichonileta huku nakuja kuwakamua watanzania mliolala mpaka mifupa. Ninachowaza usiku na mchana ni hela haijalishi wewe ni dini, kabila au nchi gani kama tuna malengo sawa tunaoppambana pamoja. Mimi nilipambana Tanzania mpaka nikafanikiwa kibiashara. Kuna project nilitaka kufanya nikakwama ndio nimekuja kuchukua ujuzi huku ile nikirudi nijidhibiti vizuri.
Umeiponda kenya nadhani ulienda Kenya na hela ya mboga. Ukitenga hela yako nzuri ukasema utembelee Nairobi wiki tu utajifunza mengi sana. Siongei mambo ya mitandaoni au nadharia naongea mambo ambayo nimeyashuhudia mwenyewe. Hakuna nchi ambayo mteja ni mfalme kama kenya yaani mipango yako ya kiabashara inafanyika kwa spidi ya ajabu sana. Kama wewe sio mfanyabiashara hauwezi kuelewa ninachokiandika hapa kuhusu Kenya.
Na usisahau major investors dubai ni China,India,Japan,USA,KoreaUsemayo ni kweli kabisa, lakini je ni asilimia ngapi ya ma engineer hata wa nchi zingine waliojiajiri na kufanya hayo uyasemayo.....!?
Swala linarudi pale pale wengi wanasubiria mishahara tu.
Ndo maana wafanyakazi wengi wa Dubai ni Wahindi na wazungu hao walosoma Havard. na wanalipwa na hao waliokataa kwenda shule.
Hakunq serikali inyoweza kuji invest yenyewe mkuu, lakini hebu angalia miundombinu ya Dubai linganisha na ya Investors wao utapata jibu.Na usisahau major investors dubai ni China,India,Japan,USA,Korea
Mimi sio muhaya ila nina hasira na maisha sanaWw jamaa ni mjivuni sana bila shaka utakuwa muhaya.
Sijasema ustaarabu unatokana na usomi pekee lakini usomi unafuta ushenzi fulani kidogo ndio maana nikakupa mfano wa sehemu mbalimbali Tanzania. Sehemu ambayo Elimu ilichelewa kushika hatamu unaona kabisa kuna vitu vya ajabu vinafanyika.Unajichanganya.
Huelewi ni nini maana ya ustaarabu kaka.
Ustaarabu una uwanda mpana ushoga,kuvuta sigara n.k huo sio ustaarabu ila kulingana na jamii ya wazungu tamaduni zao huo ni ustaarabu.
Na pia kwa waarabu kwao wanaona huo ndio ustaarabu wao kulingana na tamaduni zao.
Muhimu nimepinga hoja yako ya kusema ustaarabu unatokana na usomi peke yake.
Una hasira na maisha na ndo maana unatafuta hela ila wakati huo upo unawabeza waarabu wenye hizo hela na walio toboa kimaisha.t
Mimi sio muhaya ila nina hasira na maisha sana
Hapo umetaja tu random Nchi tajiri, Korea na Japan si sana Dubai, investor wakubwa ni wenyewe UAE, ila ukiwatoa wao ni India, Uingereza na Urusi ndio top. Then wanafuatiwa na Egpty, Lebanon, Wataliano, Wapakistan, wafaransa, Waturuki, Jordan etc.Na usisahau major investors dubai ni China,India,Japan,USA,Korea
Sijawabeza waarabu kwa kuwalinganisha na mimi nimewabeza waarabu kwa kuwalinganisha na wayahudi. Kwa sababu na hela zao zote bado hawawezi kuwakomboa wapalestina. Na ukikaaa kufikiria idadi ya wayahudi wanaoishi Israel waarabu wanashindwaje kuirudisha palestina ?Una hasira na maisha na ndo maana unatafuta hela ila wakati huo upo unawabeza waarabu wenye hizo hela na walio toboa kimaisha.
Watu weusi wanalipwa kutokana na tabaka lao. Hakuna ofisi Uarabuni itakulipa sawa na Mwarabu na mna cheo kimoja. Unalipwa vizuri kuliko Tanzania lakini kwa cheo kimoja haulipwi sawa na Mwarabu au Mhindi.Upo Ulaya lakini unaleta porojo za kwenye vijiwe vya mbege watu weusi wenye elimu zao Arabuni wanalipwa vizuri tu kwenye fani zao wewe hizi habari umezipata wapi?
Acha uongo labda india siyo arabuni kila siku waarabu wanatangaza nafasi za kazi na mshahara sasa wewe unaleta porojo za kwenye vijiwe vya mbege JF.Watu weusi wanalipwa kutokana na tabaka lao. Hakuna ofisi Uarabuni itakulipa sawa na Mwarabu na mna cheo kimoja. Unalipwa vizuri kuliko Tanzania lakini kwa cheo kimoja haulipwi sawa na Mwarabu au Mhindi.
Siongei uongo naongea first hand experience. I have experienced that.Acha uongo labda india siyo arabuni kila siku waarabu wanatangaza nafasi za kazi na mshahara sasa wewe unaleta porojo za kwenye vijiwe vya mbege JF.
Kwani jukumu lililo waleta waarabu hapa duniani ili kushindana na wayahudi,kiasi cha kwamba wakizidiwa na wayahudi wameferi maisha?Sijawabeza waarabu kwa kuwalinganisha na mimi nimewabeza waarabu kwa kuwalinganisha na wayahudi. Kwa sababu na hela zao zote bado hawawezi kuwakomboa wapalestina. Na ukikaaa kufikiria idadi ya wayahudi wanaoishi Israel waarabu wanashindwaje kuirudisha palestina ?