Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Usomi ndio unaozaa ustaarabu ndugu yangu hata hapa Tanzania. Ukitembea utaona effect ya elimu katika ustaarabu wa Sehemu mbalimbali za nchi.
Ustaarabu kaka una uwanda mpana sana.
Ustaarabu hauji na usomi tu bro hadi malezi yanachangia ustaarabu pia hadi utamaduni unachangia ustaarabu.
Pia kulingana na tamaduni unaweza ukasema ule sio ustaarabu ila wenzako wakaona ndio ustaarabu.
Labda nikutolee mfano,wanaume kuingiliana kinyume ni ustaarabu kwa tamaduni za KiAfrika??
Ila ukienda Ulaya wanaume kulawitiana ni ustaarabu.
Hapo nadhani utaelewa nini nilikua najaribu kulenga.
 
Umewapangia maisha Saudia unahoji kwa nini walindwe na Marekani au siyo wewe?
Nimekuambia kama mtu ana hela kwa nini asiwaaajiri watu wa nchi nyingine ambayo haina Maslahi na Israel ? Sijawapangia Maisha ninakwambia tu ni sawa umjengee kimada nyumba ambaye kutwa anamsumbua mke wako huku Mama yako anaishi kwenye nyumba ya udongo.
 
Ustaarabu kaka una uwanda mpana sana.
Ustaarabu hauji na usomi tu bro hadi malezi yanachangia ustaarabu pia hadi utamaduni unachangia ustaarabu.
Pia kulingana na tamaduni unaweza ukasema ule sio ustaarabu ila wenzako wakaona ndio ustaarabu.
Labda nikutolee mfano,wanaume kuingiliana kinyume ni ustaarabu kwa tamaduni za KiAfrika??
Ila ukienda Ulaya wanaume kulawitiana ni ustaarabu.
Hapo nadhani utaelewa nini nilikua najaribu kulenga.
Ustaarabu kumuheshimu mtu kama binadamu na yeye anakuheshimu. Mimi sikubaliani na mashoga na siwezi kuwa na urafiki nao. Lakini kazini kuna mabosi ni mashoga, wanavuta Unga, sigara na Bangi lakini kazi wanapiga kama mchwa. Ni mara mia nifanye kazi na watu kama hawa kuliko mtu anayekesha kanisani au msikitini lakini kazini ni kulalamika na kutotimiza wajibu/projections kwa wakati.

Kitu kama haki za binadamu na mwajiriwa nimekuambia Uarabuni Mtu mweusi hauwezi kulipwa sawa na Mwarabu kama cheo chenu ni kimoja. Na Waarabu wanalipwa kitofauti kutokana na koo au caste zao. Hii kitu ipo India sio Uarabuni tu mimi nashangaa kuona watanzania tunawatukuza watu hawa.
 
Nimekuambia kama mtu ana hela kwa nini asiwaaajiri watu wa nchi nyingine ambayo haina Maslahi na Israel ? Sijawapangia Maisha ninakwambia tu ni sawa umjengee kimada nyumba ambaye kutwa anamsumbua mke wako huku Mama yako anaishi kwenye nyumba ya udongo.
Huo mfano wako mbona haufanani na hoja iliyopo? Hicho ulichosema ndiyo unampangia pesa za kwake wewe unataka kumuelekeza jinsi ya kuzitumia kama anaona Marekani ndiyo mlinzi mzuri kwako wewe unaumia nini?
 
Nimekuambia kama mtu ana hela kwa nini asiwaaajiri watu wa nchi nyingine ambayo haina Maslahi na Israel ? Sijawapangia Maisha ninakwambia tu ni sawa umjengee kimada nyumba ambaye kutwa anamsumbua mke wako huku Mama yako anaishi kwenye nyumba ya udongo.
Ustaarabu kumuheshimu mtu kama binadamu na yeye anakuheshimu. Mimi sikubaliani na mashoga na siwezi kuwa na urafiki nao. Lakini kazini kuna mabosi ni mashoga, wanavuta Unga, sigara na Bangi lakini kazi wanapiga kama mchwa. Ni mara mia nifanye kazi na watu kama hawa kuliko mtu anayekesha kanisani au msikitini lakini kazini ni kulalamika na kutotimiza wajibu/projections kwa wakati.

Kitu kama haki za binadamu na mwajiriwa nimekuambia Uarabuni Mtu mweusi hauwezi kulipwa sawa na Mwarabu kama cheo chenu ni kimoja. Na Waarabu wanalipwa kitofauti kutokana na koo au caste zao. Hii kitu ipo India sio Uarabuni tu mimi nashangaa kuona watanzania tunawatukuza watu hawa.
Upo Ulaya lakini unaleta porojo za kwenye vijiwe vya mbege watu weusi wenye elimu zao Arabuni wanalipwa vizuri tu kwenye fani zao wewe hizi habari umezipata wapi?
 
Unajichanganya.
Huelewi ni nini maana ya ustaarabu kaka.
Ustaarabu una uwanda mpana ushoga,kuvuta sigara n.k huo sio ustaarabu ila kulingana na jamii ya wazungu tamaduni zao huo ni ustaarabu.
Na pia kwa waarabu kwao wanaona huo ndio ustaarabu wao kulingana na tamaduni zao.
Muhimu nimepinga hoja yako ya kusema ustaarabu unatokana na usomi peke yake.
 
Asante sana nimetoka Tanzania sio kwa kusaidiwa na sio kwa scholarship bali kwa pesa yangu mwenyewe. Sina mpango wa kuzamia Ulaya nikimaliza kilichonileta huku nakuja kuwakamua watanzania mliolala mpaka mifupa. Ninachowaza usiku na mchana ni hela haijalishi wewe ni dini, kabila au nchi gani kama tuna malengo sawa tunaoppambana pamoja. Mimi nilipambana Tanzania mpaka nikafanikiwa kibiashara. Kuna project nilitaka kufanya nikakwama ndio nimekuja kuchukua ujuzi huku ile nikirudi nijidhibiti vizuri.

Umeiponda kenya nadhani ulienda Kenya na hela ya mboga. Ukitenga hela yako nzuri ukasema utembelee Nairobi wiki tu utajifunza mengi sana. Siongei mambo ya mitandaoni au nadharia naongea mambo ambayo nimeyashuhudia mwenyewe. Hakuna nchi ambayo mteja ni mfalme kama kenya yaani mipango yako ya kiabashara inafanyika kwa spidi ya ajabu sana. Kama wewe sio mfanyabiashara hauwezi kuelewa ninachokiandika hapa kuhusu Kenya.
Ww jamaa ni mjivuni sana bila shaka utakuwa muhaya.
 
Usemayo ni kweli kabisa, lakini je ni asilimia ngapi ya ma engineer hata wa nchi zingine waliojiajiri na kufanya hayo uyasemayo.....!?
Swala linarudi pale pale wengi wanasubiria mishahara tu.
Ndo maana wafanyakazi wengi wa Dubai ni Wahindi na wazungu hao walosoma Havard. na wanalipwa na hao waliokataa kwenda shule.
Na usisahau major investors dubai ni China,India,Japan,USA,Korea
 
Unajichanganya.
Huelewi ni nini maana ya ustaarabu kaka.
Ustaarabu una uwanda mpana ushoga,kuvuta sigara n.k huo sio ustaarabu ila kulingana na jamii ya wazungu tamaduni zao huo ni ustaarabu.
Na pia kwa waarabu kwao wanaona huo ndio ustaarabu wao kulingana na tamaduni zao.
Muhimu nimepinga hoja yako ya kusema ustaarabu unatokana na usomi peke yake.
Sijasema ustaarabu unatokana na usomi pekee lakini usomi unafuta ushenzi fulani kidogo ndio maana nikakupa mfano wa sehemu mbalimbali Tanzania. Sehemu ambayo Elimu ilichelewa kushika hatamu unaona kabisa kuna vitu vya ajabu vinafanyika.

Ninachopinga kuhusu ustaarabu wa Waarabu na Wahindi kazini na kwenye jamii mnatengwa kutokana na ngozi na matabaka bila kujali uwezo wako wa kazi. Naarudia kwa mara ya tano waaarabu na wahindi wao kwa wao wanabaguana kutokana na matabaka(caste). Hivi vitu havisemwi ukiiishi nao kwa karibu ndio utakuja kuvigundua.
 
Na usisahau major investors dubai ni China,India,Japan,USA,Korea
Hapo umetaja tu random Nchi tajiri, Korea na Japan si sana Dubai, investor wakubwa ni wenyewe UAE, ila ukiwatoa wao ni India, Uingereza na Urusi ndio top. Then wanafuatiwa na Egpty, Lebanon, Wataliano, Wapakistan, wafaransa, Waturuki, Jordan etc.

Kifupi Dubai ni friendly kwa Nchi za Commonwealth sababu wapo supported sana na muingereza.
 
Una hasira na maisha na ndo maana unatafuta hela ila wakati huo upo unawabeza waarabu wenye hizo hela na walio toboa kimaisha.
Sijawabeza waarabu kwa kuwalinganisha na mimi nimewabeza waarabu kwa kuwalinganisha na wayahudi. Kwa sababu na hela zao zote bado hawawezi kuwakomboa wapalestina. Na ukikaaa kufikiria idadi ya wayahudi wanaoishi Israel waarabu wanashindwaje kuirudisha palestina ?
 
Upo Ulaya lakini unaleta porojo za kwenye vijiwe vya mbege watu weusi wenye elimu zao Arabuni wanalipwa vizuri tu kwenye fani zao wewe hizi habari umezipata wapi?
Watu weusi wanalipwa kutokana na tabaka lao. Hakuna ofisi Uarabuni itakulipa sawa na Mwarabu na mna cheo kimoja. Unalipwa vizuri kuliko Tanzania lakini kwa cheo kimoja haulipwi sawa na Mwarabu au Mhindi.
 
Acha uongo labda india siyo arabuni kila siku waarabu wanatangaza nafasi za kazi na mshahara sasa wewe unaleta porojo za kwenye vijiwe vya mbege JF.
 
Siongei uongo naongea first hand experience. I have experienced that.
 
Kazi kuvaa mikanzu na kubwatuka Akbar Akbar, kuna Mwarabu aliwaponza kwa kuandika kitabu huko jangwani, kiliwachanganya sana, na cha kuhuzunisha zaidi kuna Waafrika wamewafuata ambao maeneo yao yako nyuma sana kielimu, angalia pwani.
 
Sijawabeza waarabu kwa kuwalinganisha na mimi nimewabeza waarabu kwa kuwalinganisha na wayahudi. Kwa sababu na hela zao zote bado hawawezi kuwakomboa wapalestina. Na ukikaaa kufikiria idadi ya wayahudi wanaoishi Israel waarabu wanashindwaje kuirudisha palestina ?
Kwani jukumu lililo waleta waarabu hapa duniani ili kushindana na wayahudi,kiasi cha kwamba wakizidiwa na wayahudi wameferi maisha?
Waarabu jukumu lao sio kushindana na jamii nyingine bali jukumu lao ni kuboresha maisha ya mataifa yao na raia wao.
Suala la wapalestina hilo sio jukumu la waarabu tu bali ni jukumu la kila binadamu mwenye akili timamu kuhakikisha kila maisha ya mwanadamu yanathaminiwa bila kujali asili yake.
Hata wayahudi hawakujiokoa wenyewe kutoka kwenye mateso bali waliokolewa na watu kutoka asili nyingine.
Kuanguka utawala wa wanazi nchini Ujerumani ulifikisha mwisho mateso ya wayahudi hapa duniani na wanazi waliangushwa na wapiganaji kutoka sehemu mbali mbali kote duniani ikiwemo waafrika.
 
Back
Top Bottom