Ustaarabu kaka una uwanda mpana sana.Usomi ndio unaozaa ustaarabu ndugu yangu hata hapa Tanzania. Ukitembea utaona effect ya elimu katika ustaarabu wa Sehemu mbalimbali za nchi.
Ustaarabu hauji na usomi tu bro hadi malezi yanachangia ustaarabu pia hadi utamaduni unachangia ustaarabu.
Pia kulingana na tamaduni unaweza ukasema ule sio ustaarabu ila wenzako wakaona ndio ustaarabu.
Labda nikutolee mfano,wanaume kuingiliana kinyume ni ustaarabu kwa tamaduni za KiAfrika??
Ila ukienda Ulaya wanaume kulawitiana ni ustaarabu.
Hapo nadhani utaelewa nini nilikua najaribu kulenga.