Na hata mabilionea hapa duniani ni asilimia 1 tuMkuu wewe ni mgumu kuelewa namaanisha je ni asilimia ngapi ya ma engineer iliyotoboa, wewe unaongelea asilimia 1 kati ya mia.
Africa ndio bara masikini lakini, waAfrika baadhi ni matajiri kuliko hata wazungu, lakini hio haibadilishi ukweli kwamba Afrika ndio maskini zaidi, ndo maana kuna kitu inaitwa Asilimia.
Halafu angalia waajirwa wengi wanavyokuwa na maisha magumu sana baada ya kustaafu.Usemayo ni kweli kabisa, lakini je ni asilimia ngapi ya ma engineer hata wa nchi zingine waliojiajiri na kufanya hayo uyasemayo.....!?
Swala linarudi pale pale wengi wanasubiria mishahara tu.
Ndo maana wafanyakazi wengi wa Dubai ni Wahindi na wazungu hao walosoma Havard. na wanalipwa na hao waliokataa kwenda shule.
Lakini sio taaluma zao zilizowatajirishaNa hata mabilionea hapa duniani ni asilimia 1 tu
Hii ni list ya matajiri top 10 wanaoongoza duniani kwa sasa, hawa wote walisoma vyuoni, walitumia taaluma walizosoma kuzigeuza ziwe ideas ambazo zimewatajirisha.
Elon Musk
Larry Ellison
Bernard Arnault
Larry Page
Bill Gates
Warren Buffett
Steve Ballmer
Sergey Brin
Jeff Bezos
Mark Zuckerberg
Hii list ya kubagua bagua utajiri umepatikanaje??Na hata mabilionea hapa duniani ni asilimia 1 tu
list hii yote ya matajiri top 10 walisoma vyuoni na kutumia taaluma walizosoma ziwatajirishe
Elon Musk
Larry Ellison
Bernard Arnault
Larry Page
Bill Gates
Warren Buffett
Steve Ballmer
Sergey Brin
Jeff Bezos
Mark Zuckerberg
Hio list haisaidii niletee makampuni makubwa ya dunia ambayo ma C.E.O ni waarabu (sio wapalestina). Na usije ukaleta udini maana ingekuwa wakristu wanapendelewa wahindi wasingekuwa ma C.E.O Google, Miccrosoft n.kNikuletee list ya madaktari na wahandisi wakubwa wenye asili ya Kipalestina???
Ongezea kwa kumwambia kati ya hao wangapi ni wayahudiNa hata mabilionea hapa duniani ni asilimia 1 tu
Hii ni list ya matajiri top 10 wanaoongoza duniani kwa sasa, hawa wote walisoma vyuoni, walitumia taaluma walizosoma kuzigeuza ziwe ideas ambazo zimewatajirisha.
Elon Musk
Larry Ellison
Bernard Arnault
Larry Page
Bill Gates
Warren Buffett
Steve Ballmer
Sergey Brin
Jeff Bezos
Mark Zuckerberg
Unahama tena!?Hio list haisaidii niletee makampuni makubwa ya dunia ambayo ma C.E.O ni waarabu (sio wapalestina). Na usije ukaleta udini maana ingekuwa wakristu wanapendelewa wahindi wasingekuwa ma C.E.O Google, Miccrosoft n.k
Chuo kuwa namba moja sio sababu nenda kakae uarabuni karibu mwaka ndio uje hapa. Fuatilia hata Burj Khalifa imejengwa na kampuni ya South Korea kushirikiana na consultancy ya Wabelgiji na Wamarekani. Ninaongea facts siongei vitu vya nadharia. Waturuki ni waislamu ila wana akili kidogo. Hauwezi kushinda na wake wanne na kuswali mara ztano kwa siku halafu ufocus na maisha.Nimekuletea list ya vyuo ndani ya Saudia Arabia unaniletea taarabu.
Kwahiyo hivyo vyuo huwa ni vitupu haviingii wanafunzi???
Kichwa chako bure kabisa.
Kusomea Israel ni changamoto kwa sababu za kiusalama hivyo sidhani kama Israel kama kuna chuo kimeingia 20 bora, ndio maana wengi wanaenda kusoma vyuo vya nje, Mfano katika ukanda mzima huo waliozungukwa na waarabu ni wao pekee wamo kwenye orodha ya taifa lililotoa wahitimu wengi Havard ambacho ni moja ya chuo bora Duniani, Hata Saudia pamoja na kuwa na amani na population kubwa hawajawezaNiletee cha ISRAEL kilichoingia hata 20 bora.
Hamuishiwi sababu aisee.
Tanzania ina vyuo vyenye world score??
Nitajie hata chuo cha Tanzania chenye nafasi hata ya 300 kidunia.
Maliasili sio utajiri endelevu na watumiaji wakubwa wa hayo Mafuta ni hao wanaosoma, na waliogundua kuwa mafuta yanaweza kuendesha mitambo ni hao wanaosomaUkiwa na utajiri endelevu mda wa kuumiza kichwa kusolve equation waachie masikini.
Hao hao wasomi ndio wameajiriwa na waarabu kusimamia biashara zao.
Nime cheka sanaKwa suala la akili sisi waarabu hapana. Si sana. Of course wanakuwepo wenye kipaji maalum. Lakini masomo haya ya Ilomu Duniya sisi hizo akili no. But mambo mengine tupo vizuri sana
Taaluma ndizo ziliwapa hata uwezo wa kuwa na ideasLakini sio taaluma zao zilizowatajirisha
Unaropoka huongei facts.Chuo kuwa namba moja sio sababu nenda kakae uarabuni karibu mwaka ndio uje hapa. Fuatilia hata Burj Khalifa imejengwa na kampuni ya South Korea kushirikiana na consultancy ya Wabelgiji na Wamarekani. Ninaongea facts siongei vitu vya nadharia. Waturuki ni waislamu ila wana akili kidogo. Hauwezi kushinda na wake wanne na kuswali mara ztano kwa siku halafu ufocus na maisha.
Kwanza ku compare wakimbizi sijui laki kadhaa na Taifa lenye watu zaidi ya Bilioni ni upuuzi tu, niliwahi kuelezea humu mafanikio ya waarabu wa levant (Palestine, Lebanon na Syria) huko America Kusini.Wapalestina hawako kwenye system katika mataifa makubwa. Wapalestina walikuwa mbele ya wahindi, wachina na wakorea katika kupewa hifadhi Ulaya na Marekani. Lakini angalia against all odds wahindi ndio Ma CEO wa makampuni makubwa marekani. Wapalestina wakifika ulaya na marekani wanafanya biashara za kikuda badala ya kuinfiltrate system. C.E.O wa makampuni makubwa kama Adobe, Nvidia, Alphabet, Google na Microsoft wana influence kubwa katika serikali za first world countries. Wao wakifika Ulaya wanakazana na kujilipua na kukesha na swala tano kila siku.
Sio kwamba elimu ya darasani sio kipaumbele ni kama utaitumia tuMaliasili sio utajiri endelevu na watumiaji wakubwa wa hayo Mafuta ni hao wanaosoma, na waliogundua kuwa mafuta yanaweza kuendesha mitambo ni hao wanaosoma
Acheni mawazo ya kimasikini.
Hoja zako dhaifu sana.Kusomea Israel ni changamoto kwa sababu za kiusalama hivyo sidhani kama Israel kama kuna chuo kimeingia 20 bora, ndio maana wengi wanaenda kusoma vyuo vya nje, Mfano katika uk..anda mzima huo waliozungukwa na waarabu ni wao pekee wamo kwenye orodha ya taifa lililotoa wahitimu wengi Havard ambacho ni moja ya chuo bora Duniani, Hata Saudia pamoja na kuwa na amani na population kubwa hawajaweza
Ila elimu zinawasaidia, nadhani unakumbuka hata mtanzania mwenzetu Mollel (rip) alienda kujifunza kilimo Israel sababu ni nchi yenye teknolojia za juu kwenye kilimo hata kampuni inayoongozea ya Netvic inayoongozea duniani kwenye umwagiliaji na kilimo dijitali "Netvic" ni ya huko.
View attachment 2929604
Sijahama nimekuambia leta ma C.E.O wa kampuni waarabu maana waarabu ni sample kubwa kuliko wapalestina. Nimejifunza mengi sana huku Ujerumani kuna wapalestina huku nawauliza kwa nini hawajakimbilia Gulf countries. Wanasema wakifika kule hawawi treated vizuri. Huku ujerumani ukizaa unalipwa kila mwezi mpaka mtoto afikishe miaka 18 haijalishi dini,kabila au race. Ukifukuzwa kazi unalipwa asilimia 80 ya mshahara wa kazi yako kwa mwaka mzima ukiwa natafuta kazi. Ukienda Saudia waarabu wa ukoo wa Al Saud ni higher caste kuliko wengine sasa jiulize je wapalestina itakuwaje. Wafanyakazi mnafanaya kazi moja lakini mishahara ni tofauti kulingana na caste(tabaka) lako. Usiipe dini kipaumbele, kipaumbele kiwe utu.Unahama tena!?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Kwahiyo umehama kutoka waarabu kutokupenda kusoma kuja kutaka ma CEO wakubwa ulimwenguni wa kiarabu??
Unaonaje nikakuletea wanasayansi wa kiarabu waliounda makampuni yao ya uzalishaji magari na viwanda vingine???
Bado hujasema wewe utahama kila eneo.
Msaudi hata mmoja amewahi kushinda Noble Prize ?Hoja zako dhaifu sana.
Saudi Arabia anao wahitimu ndani na nje ya nchi hivyo hiyo sababu yako haina mashiko.
Na inavyoonekana mentality yako inasema kuwa ukisoma havard ndio umezalisha wasomi aisee huu ni ufinyu wa fikra