Uchaguzi 2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

Ni kweli kama umemsimulia mkeo jua atatangaza kwa mashosti zake wote nao watatangaza kwa wenzao wengine
 
Mkuu nilidhani ungeleta hoja ambayo ni very objective kwa kutuambia jiografia ya Hai ipoje? Kuna umbali gani kutoka vituo vya kupigia kura na sehemu ya majumuisho, kwa kumbukumbu zangu wakati wa kusubiri matokeo msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Hai alisema kata ambayo ipo mbali kuliko zote jimboni hapo haizidi kilomita 30 umbali ambao hauzidi lisaa limoja mpaka kufika kituo cha majumuisho.

Halikadhalika, ilibidi utuambie mathematically (kwa takwimu zenu siyo za Tume) hali ya uhesabuji kura ilikuaje? Waliojiandikisha walikua wangapi, waliopiga kura wangapi, kura za Mbowe kwa kila kituo zilikua ngapi? Na za mpinzani wake zilikua ngapi? ili tujue hizo kura feki zilizoongezwa zilikua ngapi
 
Huyu ni mfanyakazi wa serikali aliye mzalendo! uzalendo wake uishie hapa kwa wengine kufuatilia na kuchukua hatua. Madracula wanyonya damu wakiongozwa na lile lizee la chato na kuratibiwa na kidracula kidogo chenye njaa ya damu kasabaya kanavizia kamfahamu kamtafune mzima mzima. Wee ndugu umemaliza kazi yako pumzika! wengine wafanye upande wao!
 
Uchaguzi ulishapita tupigeni kazi tuache haya, maana hata ukisema hivi haitabadilisha matokeo, njia mbadala na nzuri ni kwenda mahakamani kupiga matokeo na sio kuja huku mitandaoni kulia lia
 
Mahakama gani? Mnakejeli watu walioumizwa kiasi hiki? Mjuwe Mungu yupo hai na anawaona!
 

Your browser is not able to display this video.
 
Mpe huo ushahidi mbowe aende mahakamani sio kutujazia kelele hapa na by the way mnakujaje kulalama hapa wakati mlishiriki kwenye mnachokiita dhuluma! Si mngegoma kushiriki tuwaone mnajali sana? Acheni utoto bana
 
Na wewe ulikosimamia mmeshiriki kupora haki wananchi?
 
Watu wenye uwendawazimu kama wewe ndio wanaofikiria kuwa risasi ni suluhisho la kuondoa bugdha ya kusumbuliwa unapokuwa unaandamwa kwa uovu wako.

Tunajua kuwa Serikali hii imefanya uovu mwingi. Kila mwenye akili timamu anajua kuwa NEC, CCM, Polisi na TISS, kwenye uchaguzi huu walikuwa ni genge la waovu dhidi ya wananchi. Uovu haudumu, lazima waovu walipie gharama ya uovu wao. Ni suala la wakati tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hayakutumika kwenye majumuisho,mgombea ubunge alikubali kusaini matokeo wakati matokeo ya kituo kimoja hayajafika? Akili za kuambiwa changanya na...!
Ni mgombea gani wa upinzani alisaini matokeo? Wagombea wote wa upinzani (ukiacha vyama mamluki), hakuna aliyesaini matokeo ya uchaguzi mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alichosema jamaa kuna ukweli jimbo nililotoka mimi ambalo mgombea wa chama x alifika mapema kwaajili ya zoezi la kuhesabu lakin alikuta waki bize na makompyuta wanachakata wakati kwa muda huo hakuba hata box moja lilikua limeshafika na ilikua saa 2 usiku iweje hapo hai muda huo wawe tayari wamemaliza kazi?
 
Akawe shahidi halafu mumtumbue huko serikalini?

Utakuwa mgeni hapa Tz.
 
Huu uchaguzi ulijaa dosari za kila aina.
 
Matokeo ya Hai yalitangazwa kwanza on purpose. Hawa watu walijipanga mnoo. It was a psychological move, unaona mwenyekiti wako kashindwa wewe unapata wapi uthubutu wa kulalamika?

Whoever orchestrated this are nothing but bunch of criminals!
Exactly, halafu wakaona watangaze matokeo mapema alfajiri kabla hata watu hawajaamka, ili mkiamka na maswali mkute nje defender tayari zinazunguka.

No wonder OCD alimwambia Mbowe hautashinda, kumbe walishajipanga kihuni.
 
Hapo ndio tunapokosea. Anahitajika kuwasaidia vyama vya upinzani kukusanya ushahidi ili wadai haki yao, huo ndio uzalendo. Mbowe akienda mahakamani na akakosa ushahidi muhimu atapoteza kesi then ataona anaonewa. Huyu ni mtu muhimu sana katika kuleta amani na haki katika nchi.
 
Haya mbona yanaeleweka tu, mfano Gwajima alipata wapi kura zaidi ya laki moja na elfu tisini Kawe?!

Ni wizi na ubabe tu.
 
Laiti mahakama zetu zingekuwa huru ungepata majibu ya kushangaza sana, tatizo hakimu atamuogopa bosi wake kwenye kutenda haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…