Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Sawa kabisa. Sasa kwanini msikusanye huo ushahidi wote then mkaenda mahakamani. Ni muhimu kutumia huu uzalendo ulionyesha hapa kwa kusema ukweli utumike huko, uwe shahidi upande wa kina mbowe ili wapate haki yao otherwise utaonekana ni mnafiki au unatumiwa tu...
Kuiangamiza nchi ni kukalia kimya upuuzi wa dictator? Ukora wa ccm ndio unaita nchi? Ni hivi, ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.