sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku suala la mahusiano wapo wanaoishi na wanawake bila ndoa wengine ni mwendo wa kubadili tu.
Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Kuhusu suala la mahari nimeweka hayo makundi mawili kwa maksudi maan hawa wengi kwa hali zao za uchumi pesa ya mahari hata iwe milioni 3 si jambo la kuwaumiza vichwa , Katika shirika nalofanya ni karibu vijana 80% vijana wanabadili simu bei ghali tena ni za dukani, achana na hizi refurbished, wana magari yanayopiga mafuta, kutumia elf 50 kwa siku hasa wale wa viti virefu ni kawaida. Tukija kwa wale niliohitimu nao tukiachana na ambao uchumi wao ni wazi unasua sua wanaweza kujitetea, wapo walioajiriwa kwenye kazi zenye ulaji mrefu na wapo wafanyabiashara wanapiga deals nzuri tu, suala la mahari kwao haliwezi kuwaumiza vichwa lakini bado wanakwepa ndoa..