Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana kafiri ni kama kunywa maji tu.
Brother vp Kwa wale ambao unakuta wanadate mkaka mkristo na mdada ni wa dini ya haki?

Nshawahi date na mdada familia yao ni dini ya mnyazi mungu nlikuwa napata non stop supply of utelezi through out the year, kipind Cha mwezi mtukufu mchana anakuja geto anapika nakula then nakula, tuliishi hvo Kwa miaka 6
 
Yan hadi mfungo alikwa anakupa mzigo.
 
Waislamu wanaweza OA hata kwa kilo 2 za Mchele na uduvi.

Huku kwety wathesalonike

Mama anataka sherehe kubwa kisa na yeye huwa anachanga kwenye shsrehe za watu.

Mchumba anataka sherehe kubwa kisa akawatambie mashosti zake.

Kumbuka hapo asilimia kubwa ni wewe utaingia gharama za posa, mahari, mchango wa sherehe wewe kama wewe lazima milioni na ushee ikutoke. Bado mavazi ya mwanamke na Yako na ya wapambe wenu. Bado hajaenda saluni. Aisee

Siku hizi tunasogeza tuishi tu akilazimisha sana mambo wakati uchumi haijatengamaa unamwambie hujambana aamue mwenyewe abaki au asepe.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
pia vijana wengi wa kiislam ni maskini we angalia maisha yao wakishaoa ndo maana wanagongewa sana mtu hana kazi anaoa 😂
 
Wakristu hawabanwi na dini kwenye maisha yao, wao ni wao kwanza kabla ya dini.
ILa waislam dini inawabana mno, wao ni dini kwanza wao baadae. Kwao kuoa ni lazima na pia ni nadra kumkuta mtu mzima above 40 wa kiislam hata mke ila kwa wakristo wapo kibao, na unakuta hata huo mpango hana kabisa.
 
Ukristo siyo dini.

Dini kwa Mwenyezi Mungu ni Uislam tu.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Hizi mada zenu nyingine sijui huwa mnafanyia utafiti wapi. Maana ni za hovyo mpaka basi.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Wakristo kuoa ni gharama sanaaa kulinganisha na waislaam, ndoa ya kiislam haitajiii mbwembweee kama za wakristo
 
Waislam wanaoa usiku wanaacha asbh na 90% ya talaka hawagawani mali na hata wasipoachana wako na option ya kuongeza wake hadi wanne sasa utamlazimishaje kijana aoe ndoa zenyewe kuachana hadi mtu afe? na mademu wa kikristo kwa kukimbilia mahakamani kugawana mali ndo ishakua fasheni, acheni vijana wainjoi maisha
 
Back
Top Bottom