adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Kweli usikute hata Maghayo na cha pompe Stress Challenger hawajaoa bado na utuuzima wote walionao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother vp Kwa wale ambao unakuta wanadate mkaka mkristo na mdada ni wa dini ya haki?1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!
2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.
3. Uzinifu kwa kijana kafiri ni kama kunywa maji tu.
Kabisa kila mtu ana mipango yake na ujui anapitia tatizo gani mtu una ajira/kipato utaoaje.Cost za ndoa za kikirsto sio mchezo ila za kislam ni chap.Kila mtu ashinde mechi zake mambo ya wengine yanakuhusu nin ww?
Yan hadi mfungo alikwa anakupa mzigo.Brother vp Kwa wale ambao unakuta wanadate mkaka mkristo na mdada ni wa dini ya haki?
Nshawahi date na mdada familia yao ni dini ya mnyazi mungu nlikuwa napata non stop supply of utelezi through out the year, kipind Cha mwezi mtukufu mchana anakuja geto anapika nakula then nakula, tuliishi hvo Kwa miaka 6
Na wewe mkuu umeamini hiyo Chai ya tangawizi?Yan hadi mfungo alikwa anakupa mzigo.
pia vijana wengi wa kiislam ni maskini we angalia maisha yao wakishaoa ndo maana wanagongewa sana mtu hana kazi anaoa 😂Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Kwanini unatafuna maneno? Si useme tu unataka uolewe wewe.Mtu yupo mwenywe nanga inaPAA unatakaa aowe Ili avunbue Nini
If ur broke don't engage in relationships, perhaps u find out a supportive spause and no third options
Ukristo siyo dini.Wakristu hawabanwi na dini kwenye maisha yao, wao ni wao kwanza kabla ya dini.
ILa waislam dini inawabana mno, wao ni dini kwanza wao baadae. Kwao kuoa ni lazima na pia ni nadra kumkuta mtu mzima above 40 wa kiislam hata mke ila kwa wakristo wapo kibao, na unakuta hata huo mpango hana kabisa.
Hizi mada zenu nyingine sijui huwa mnafanyia utafiti wapi. Maana ni za hovyo mpaka basi.Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Wakristo kuoa ni gharama sanaaa kulinganisha na waislaam, ndoa ya kiislam haitajiii mbwembweee kama za wakristoNa hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Kama alivyoolewa baba Yako sio?Kwa nafundisho ya Kiislam,
Kwanini unatafuna maneno? Si useme tu unataka uolewe wewe.
Ila ukristo ni Nini?Ukristo siyo dini.
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni Uislam tu.
Imani.Ila ukristo ni Nini?