Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Wakristu hawabanwi na dini kwenye maisha yao, wao ni wao kwanza kabla ya dini.
ILa waislam dini inawabana mno, wao ni dini kwanza wao baadae. Kwao kuoa ni lazima na pia ni nadra kumkuta mtu mzima above 40 wa kiislam hata mke ila kwa wakristo wapo kibao, na unakuta hata huo mpango hana kabisa.
Lakini nzuri ni ipi?
Kubanwa na dini ama kuishi wewe kabla ya dini?

Mimi naona Mungu kwanza

Kama mzee wa miaka 40 bado hajaoa maana yake huyo ni mzinzi kwasababu haipo namna huwa hafanyi tendo

Kuhusu ndoa,waislamu ni bora sana
 
Mke ana heshima yake bana, utaoaje unapika mandazi hakuna pilau, au unatoa mahari jogoo kweli?
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana kafiri ni kama kunywa maji tu.
Ni kwl maan ndoa za kiislam hazina gharama unaweza kutoa hata mahari 50k kikubwa ni makubaliano pia mnaweza funga ndoa ya mkeka tu chapu
 
Nilitegemea reponse hii maana siyo mara ya kwanza ku discuss issues za hivi. Nenda pwani yote, nilichokisema utakiona, apparent on the face of their daily doings. face the reality and be ready to make a reform!
Kwani wakiristo wa pwani wanatofauti gani na waislamu wa pwani mbona wote ni wale wale, kama ni elimu wote wanafanana.
 
Vijana Ndoa sio LELEMAMA.
Ndoa sio maigizo.
Usioe kwa sababu Fulani kaoa.

FUNGA NA KUOMBA MUNGU AKUPE MWENZA MMOJA SAHIHI WA MAISHA YAKO.
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.

Mithali 18:22

KUOA MKE ANAYESTAHILI NI BARAKA.
SHELA JEUPE LILIKUWA LINAMAANISHA MWANAMKE BIKRA.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Muislam anaoa ili aongeze idadi ya waislam hakuna kingine.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Sababu ni hii:
"Mpaka kifo kitutenganishe".
Yaani unalazimishwa kuishi na lijitu jingajinga maisha yako yote.
Hiki kipengele wanawake wengi hukipenda,kwani huamini kuwa wapo salama zaidi kutoachwa! Kumbe kuna wakati mambo yanageuka vibaya mno! Na kuona kuhama wimbi ndo suluhisho.mifano mingi tunayo hapa, flora mbasha,Angel Bernab,na huku mtaani ndo usipime,ila wengi wakitaka kuachana husingizia kuwa uzinzi lkn sio kweli,
 
Sidhani kama wanaume wanapenda. Maana wanawake pasua vichwa wapo, na huwezi kumuacha kirahisi.
 
Kwenye ukristo kuoa ni mara moja tu labda kifo kitokee hivyo upembuzi yakinifu muhimu wakati huko kwingine "Trial and error" kibao.

Mahari kubwa na mabinti kuhitaji harusi kubwa za show off hata kama uchumi mbovu.
 
Back
Top Bottom