Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Ukristo siyo dini.

Dini kwa Mwenyezi Mungu ni Uislam tu.



UJINGA KATIKA DINI YA MOOD.

QURAN 34.44
QURAN 62.3
Quran 16.43.
Quran 16.125

Hizi Aya zoote zinakiridini/Imani ya UKRISTO na UYAHUDI vitabu vyao vilitanguli kabla Ya uislamu.

WAO WATAKWAMBIA MANABII WOTE NI WAISLAMU.
WATAKWAMBIA BINADAMU WOTE NI WAISLAMU.

N:BNJE YA QURAN HAKUNA UISLAMU.

MWAMEDI ANASISITIZA UKIONA KUNA SHIDA JARIBUNI KUAMINI VITABU VILIVYO TANGULIA.

Agano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.

Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.

Ukiwa na akili timamu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.
 
Thamani ya formal class differs a lot from one place to another . Naona hapa ninapokaa mzazi doesn't care mtoto kwenda shule, but afanye mchezo kwenye madrasa atapata cha moto! Bukoba for example is quite different..... nimeona waislamu wanasema dini atasoma akipenda mwenyewe huko mbele..... si huku pwani, never.. hata pwani wasomi wanalitambua hilo...dada mmoja rafiki yetu anasema mwanangu huko haendi, kuna fimbo usiombe akakataa
Kagera ipi unaongelea wewe unajua vizuri mhaya Muislamu wewe hawana utani na dini yao ni bukoba tu ambaye kuna kamji ka waislamu tupu, kale ka mji ka katoro waislamu ni 80% shule zote na vyuo vinamilikiwa na waislamu madrasa zipo na ni lazima, islamic knowldge ni lazima kwa kila mwanafunzi, neenda ukafanye utafiti zaidi, waislamu wenye kushika dini bila unafiki ni kagera, muislamu atakua muislamu hawezi kunywa pombe kama pwani yako unao sema, ilio waganga wa majini, jambo ambalo ni shirki katika dini.
 
Simple tu hiyo,
Ni kwasababu ya urahisi wa kuoa na kuacha.Waislamu ndoa zenu simple sana hazina mambo mengi na kuachana na hivyo hivyo.

Nimeishi na kufanya kazi Mtwara aisee mdada anaolewa leo baada ya wiki mbili kaachika.Mtwara 98% ya watu ni waislamu.

Na huo ndio uislam wanaishi kama mbuzi.
 
Kinachokwamisha vijana wa kikristo kuoa ni mahari tu unaambiwa simple tu utoe mahari mil 3 ?
Kwa waislamu elfu 50 tu unachukua jiko
Kuna wadada wanaolewa mpk kwa 15M

Labda huko kwenu ndio wanaolewa kwa elfu 50...fanya utafiti vizuri
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana kafiri ni kama kunywa maji tu.
Hao hawatoagi mahari bali utoa mali TOFAOTISHA mahari na mali

Mahari ni chochote kitu hatakacho itaji muolewaji toka kwa mtalajiwa wake kadiri ya uwezo wake hiyo ndio mahari

Lakini muaji hatakapo peleka posa kutuma washenga kisha familia ikaketi na kupanga kiwango cha pesa au mifugo hili muoaji hatoe kwa familia hiyo hili haozeshwe hiyo sio mahari bali ni biashara
 
Ndoa za kikristo
Gharama ya magali
Gharama ya kufanya sherehe
Mkataba wenyewe wa ndoa ulivyo
Haya matatu ndo chanzo cha kufanya vijana wengi wa kikristo wasioe mapema
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.

ILA ndoa ambazo sio reliable na sio garantii kabisa ni ndoa za kiislam . Yaani unawezA kupewa talaka kwa matamshi tu ukiwa chooni na ukawa sio mke.

Suala la Zina halihusiani na udini, hapa umekuwa too subjective . Halaf ishu sio kuoa tu, ishu ni unayemuoa ni mna chemistry na understanding kuishi maisha yoyote , au ndio utaongeza mke wa pili

Mke wa pili kwa dunia ya sasa ni aina nyingine ya uasherati ulio halalishwa maana unaanza kwanza kumzunguka mke wako then mwisho wa siku unamuongezea ndani
 
Kuna wadada wanaolewa mpk kwa 15M

Labda huko kwenu ndio wanaolewa kwa elfu 50...fanya utafiti vizuri
Majority wanoa kwa pennies tu, hilo linafanya ndoa nyingi za kiislam kuwa rahisi, hata kuachana pia rahisi tu. Ukiona familia ya kiislam baba na mama tangu ujanani ni nadra sana, wengi wanaachana, wanaoa na kuolewa tena, yaani tafrani.
 
Brother vp Kwa wale ambao unakuta wanadate mkaka mkristo na mdada ni wa dini ya haki?

Nshawahi date na mdada familia yao ni dini ya mnyazi mungu nlikuwa napata non stop supply of utelezi through out the year, kipind Cha mwezi mtukufu mchana anakuja geto anapika nakula then nakula, tuliishi hvo Kwa miaka 6
Muislam jina tu huyo...waislam wa bongo, bongo kumshinda shetani na vituko vyake sio kazi nyepesi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wengi wao hawakwenda shule za juu, hivyo mila za kijadi na kidini zinatawala zaidi ,maisha na matendo yao kuliko modern form of life ....so to say westernised..... maisha yao wameyakabidhi kwa Allah! . Moslems their religion is quite internalised. Mfano madrasa mtoto akikosa kwenda anaweza kupigwa mpaka akafa, lkn hizi formal schooling asipokwenda huwa siyo hoja sana as long as amekwenda madrasa

The Arabic term islām, literally “surrender,” illuminates the fundamental religious idea of Islam—that the believer (called a Muslim, from the active particle of islām) accepts surrender to the will of Allah (in Arabic, Allāh: God)
Hacha kukwepa hoja nyiyi wazinzi tu pia hata nguvu za kiume hana tangu lini kidume kikaishi bila mke,kazi kufuga ndonga kutegemea k kwa jirani
 
Kwani kuoa lazima?
Kiranga una binti mrembo.
Screenshot_2023-05-14-19-17-16-62.jpg
 
exactly, maisha yao yanaongozwa na utashi wadini na si uhuru binafsi wa kuamua. ndiyo maana hata Mtume (SAW) alioa mtoto wa miaka 9 kwa vile dini inaruhusu
Ndio,nyiyi mtume wenu Paulo alikuwa khanithi kama papa nyiyi wazinzi tu
 
Back
Top Bottom