CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Ukristo siyo dini.
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni Uislam tu.
UJINGA KATIKA DINI YA MOOD.
QURAN 34.44
QURAN 62.3
Quran 16.43.
Quran 16.125
Hizi Aya zoote zinakiridini/Imani ya UKRISTO na UYAHUDI vitabu vyao vilitanguli kabla Ya uislamu.
WAO WATAKWAMBIA MANABII WOTE NI WAISLAMU.
WATAKWAMBIA BINADAMU WOTE NI WAISLAMU.
N:BNJE YA QURAN HAKUNA UISLAMU.
MWAMEDI ANASISITIZA UKIONA KUNA SHIDA JARIBUNI KUAMINI VITABU VILIVYO TANGULIA.
Agano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.
Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.
Ukiwa na akili timamu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.