Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?



Hawa wavaa kobazi wa mnyazi.


Ukiwauliza DINI ni nini wanakimbia.


Akilizao nawaonea sana huruma.

Jitu limama lilima limekazana DINI DINI.
Unaliuliza DINI ni Nini linakosa majibu.
 
Kamusi tumia wewe usiyeelewa maana ya neno dini. Mimi naielewa maana ya neno dini lilipoanzia hilo neno dini. Kama ulikuwa huelewi, lipo wenye Qur'an ambayi ipo kwa miaka zaidi ya 1,400 leo.

Sasa hiyo kamusi yako ina miaka mingapi?
Mbona unakimbia swali? [emoji1787]

KUJA HAPA bibi...Mimi sijakuuliza kuhusu Quran wala miaka 1400. Mimi nimekuuliza unipe MAANA YA NENO DINI.

Maana ya maneno hupatikana kwenye Dictionary/Kamusi.

Nataka uweke hapa TAFSIRI ya neno DINI kutoka kwenye DICTIONARY.

Dini ni NINI?
RELIGION ni NINI?
 
Kamusi tumia wewe usiyeelewa maana ya neno dini. Mimi naielewa maana ya neno dini lilipoanzia hilo neno dini. Kama ulikuwa huelewi, lipo wenye Qur'an ambayi ipo kwa miaka zaidi ya 1,400 leo.

Sasa hiyo kamusi yako ina miaka mingapi?


WEWE MBONA TUNAKUULIZA DINI NI NINI UNASHINDWA KUJIBU UNARUKARUKA KAMA MAHARAGE.




JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.


HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????


Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni


وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
 
Pit
Hawa wavaa kobazi wa mnyazi.


Ukiwauliza DINI ni nini wanakimbia.


Akilizao nawaonea sana huruma.

Jitu limama lilima limekazana DINI DINI.
Unaliuliza DINI ni Nini linakosa majibu.
Soma uzi vizuri. Usikurupuke.
 
Pitia uzi vizuri, jibu lipo.
 
Hawa wavaa kobazi wa mnyazi.


Ukiwauliza DINI ni nini wanakimbia.


Akilizao nawaonea sana huruma.

Jitu limama lilima limekazana DINI DINI.
Unaliuliza DINI ni Nini linakosa majibu.
Hawa ni wazee wa propaganda za kidini.
Ukiwa-question kuhusu hoja zao wanazoanzisha wenyewe huwa wanakimbia.

Wewe mwenyewe umejionea FaizaFoxy anavyogoma kabisa kujibu nilichomuuliza.

Na hatanijibu kamwe kwa sababu Kamusi itamuumbua na propaganda za dini yake.
 
Ni lijua tu huyu mpuuzi lazima ajitokeze na quotation za Quran asio zielewa.......msipoteze mda nae... "fikurubihim maradhuni fadhadahumu llahi maradhani....."
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Kafiri ni mtu asiye na dini (Mpagani)... umemezeshwa mambo mabaya mpaka umekosa akili.
 
Neno dini kwa Kiswahili linatokana na neno "din" kwa Kiarabu ambalo kwa Kiswahili huwezi kulitagsiri kwa neno moja, kwa kulifafanua lina maanisha "njia ya mfumo wa maisha".


.Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6


AMA KWELI HUMU KUNA VILAZA.
 
Hawa wavaa kobazi wa mnyazi.


Ukiwauliza DINI ni nini wanakimbia.


Akilizao nawaonea sana huruma.

Jitu limama lilima limekazana DINI DINI.
Unaliuliza DINI ni Nini linakosa majibu.
Dini ni njia ya kweli au imani inayokufanya uitumie kupitia katika kumuabudu Mungu wako wa kweli,

Maana yake siyo kwamba Dini zote ni za kweli,kunazingine unaweza ukazani unamuabudu Mungu wako,kumbe unakufulu,mfano kusema Yesu ni Mwana wa Mungu au Mungu,Lakini unaweza kuifuata Dini inayosema Yesu ni Nabii na Mtume wa Mwenyezi Mungu,kama Mitume wengine Mfano Ibrahimu,Daudi,Musa Mtume Muhammad (S.A.W)na mitume wengine waliotangulia,na hakuna Mtume Mwingine baada ya Mtume Muhammad,Yaani huyu ndiye wa mwisho wa umma huu,kila mtu inabidi amfuate yeye,ingawa hulazimishwi
 
Mahari bei ya kiwanja na msingi wa nyumba halafu harusi gharama zake ni za kuinua boma la nyumb mpaka kupaua nioe nigundue nin??
 


QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
 


ALAFU UWE UNAFICHA UJINGA WAKO..
HAKUNA NABII AU MTUME ZAIDI YA MOHAMED KWENYE UISLAMU.



UJINGA KATIKA DINI YA MOOD.

QURAN 34.44
QURAN 62.3
Quran 16.43.
Quran 16.125

Hizi Aya zoote zinakiridini/Imani ya UKRISTO na UYAHUDI vitabu vyao vilitanguli kabla Ya uislamu.

WAO WATAKWAMBIA MANABII WOTE NI WAISLAMU. NJE YA QURAN HAKUNA UISLAMU.

MOHAMED ANASISITIZA KUSOMA NA KUAMINI VITABU VILIVYO TANGULIA.

Agano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.

Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.

Ukiwa na akili tu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.

FICHA UJINGA HAKUNA NABII ZAIDI YA MOHAMED KWENYE UISLAMU.

NA UISLAMU AMEKUJA NAO MOOD JAPO SIZANI KAMA ALISLIMU.
 
Kwa hiyo unachokijuaga wewe ni huo uongo uliokalilishwa?lbda tukusaidie ukweli utaujua mwenyewe siku utakapoingizwa kaburini,na utakuwa huna mda tena wa kuomba kuludi duniani kuja kujifunza,

Hata sisi wengine tulikuwa kama wewe,yawezekana tukiwa na madaraja makubwa mpaka ya sakrament ya ndoa.lakini leo hii tunaitaja kalma ya Hakuna apasaye kuabudiwa zaidi ya Mwenyezi Mungu na Mitume Muhammad ni mjumbe wake,na Issa naye au Yesu ni Mjumbe wake,na Musa na wengine
 
MASHARTI YA NDOA ZA WAKRISTO NI MSALA.MANZI AKIINGIA NDANI KABLA HAJASOMEKA VIZURI UMEISHA JOMBAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…