Kabisa mkuu, !!
Hapa umenikumbusha Jambo.
Waasisi wa hizi dini pia walikuwa/Wana mlengo tofauti katika suala zima la kuoa.
Wakati muasisi wa uislaam Mohammed SAW akihimiza kuoa kwa vitendo, yaani yeye mwenyewe kuwa champion wa kuoa hata kuonesha jamii kuwa ' age is just a number' kwa kuoa binti wa miaka tisa, Mambo ni tofauti upande wa ukristo , Yesu mwenyewe hakuoa, na hata mafundisho yaliyofuta baada yake Bado yalionesha kwamba kuoa si Jambo la lazima, na pengine imeelezwa kwamba ni Bora mtu asioe ili awe na muda wa kutosha kutekeleza maagizo ya muumba wake.
Hapa ndani Kuna kampeni ya kataa ndoa, hebu tuanzie hapa kupata data Hawa waungaji mkono kampeni hi ni watu wa imani gani?