1ndazMaterial
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 161
- 175
Waoeeee wache mavi mavi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika vijana wa Kiislam wanaoa na kutulia ndoani, mfano: Diamond, Ally Kiba, Khadji Manara n.kNa hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Umenikumbusha Tintin, Snowy na Prof Calculus 😅😅😅Na Captain Haddock.
Billions of blue blistering barnacles in a thundering typhoon!
Usichanganye tamaa za mali za wazazi na ukristo wewe!!! Hao ni wazazi wenye tamaa ya mali. Haihusiani na ukristo!! Inaonekana hata Wakristo wenyewe hawaelewi hili!!!Sisi wakristo tuna Mlolongo mrefu sana. UNakuta Binti bikra imetolewa vichakani halafu wazazi wake wanataka watajirikie kwa mtoa mahari, na wanakukazia kwelikweli kama Nyerere alivyomkazia mzungu. Ndio maana tupo slow kama konokono.. ukija race huku kwetu utajikuta u NALIA NGWENA na utarudi ki-ngugi
Kilimbatzz
Narudia tena hayo unayosema HAYAHUSIANI na mafundisho yoyote ya dini au ya dhehebu au ya KIKRISTO!!!! Huo unakuwa ni uamuzi BINAFSI wa familia unayotaka kuoa!!! They have NOTHING TO DO WITH CHRISTIANITY!!! Hakuna mafundisho kama hayo!!!Nenda na 100,000/- kampose mtoto wa Mbonde uone km hujarudishwa unaambiwa kijana mahari ya binti yetu ni million 3.5 hapo bado hujaleta koti la Babu na mkoja wa Bibi, waislamu hawanaga huo ujinga kwanza anaepanga mahari kwa waislamu ni mwanamke anaeolewa sio wazazi wake maana wao mahari ni zawadi ya mwanamke sio zawadi ya wazazi na Ukoo, Ila wakristu mahari ni zawadi ya wazazi na Ukoo wanaendesha Mambo kimila zaidi sio kidini km ilivyo kwa waislamu
Yoyote anayeamua kufanya haya AMEAMUA mwenyewe kuyafanya. HAKUNA dhehebu LOLOTE la kikristu LINALAZIMISHA binti aolewe kwa mahari kubwa, au harusi iwe ya gharama kubwa, HAKUNA. Hakuna mafundisho hayo kwenye ukristo!!1.MAHARI IMEKUWA GHALI SANA but kwa muslim mahari sio issue sana, ni makubaliano tu na mke, hata msahafu tu unaoa,
2. GHARAMA ZA HARUSI NI KUBWA kwa muslim gharama ni ndogo sana, wali maharage tumemaliza, tunatandika mikeka au tunaazima ya misikitini ndoa imepita
3.DINI INASISITIZA NDOA MNO, Uislam ukifika miaka 30 hukuoa kila mmoja atakushangaa, yaan usihofu kuoa kwa sababu ya hali ya kimaisha "kama Allah alikulisha ukiwa pekeyako basi Allah huyo huyo atakulisha mkiwa wawili au zaidi,
4. Hofu ya zinaa, kwa muslim zinaa ni jambo kubwa na baya kupitiliza, kila mzazi anapambana sana mwanae asiziniwe,
5. KURIDHIKA , most muslim ni watu wa kuridhika na kidogo Allah alichotujaalia, sio lazim uwe na mali nyingi ndo uoe,
Ukiristu huwezi kuutenga na masuala ya kimila, tofauti na uislamu imesimama wenyewe km wenyewe hakuna masuala ya kimila mradi wote wanaonana ni waislamu shekhe anaitwa kuchoma ubani inapigwa dua ya faster faster huku watu wanaopoa mpunga jikoni ndani ya masaa 2/3 ndoa tayari unabeba mwali wako yule unaenda kuishi nae, wakristu ni process za kimila zinahusika blangeti la Babu mkaja wa Bibi na mengene km hayo, hapo ushaambiwa mahari Million 3.5 we unataka useme hata Mahari ya Wakristu ambayo ipo juu kuzidi waislamu haiusiani na ukristu ?Narudia tena hayo unayosema HAYAHUSIANI na mafundisho yoyote ya dini au ya dhehebu au ya KIKRISTO!!!! Huo unakuwa ni uamuzi BINAFSI wa familia unayotaka kuoa!!! They have NOTHING TO DO WITH CHRISTIANITY!!! Hakuna mafundisho kama hayo!!!
Uzi uishie hapa[emoji419]Modern type of life with independent decisions, not that much guided by religion
Siyo ukristo!!! Hakuna mafundisho hayo kuhusu ndoa kwenye ukristo. Huo huwa ni uamuzi binafsi wa familia husika!!! Msichanganye mambo jamani. Mahari kubwa, sherehe za gharama kubwa has nothing to do with ukristo. Hakuna mafundisho hayo kwenye ukristo. Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi.Simple tu hapa,
Kiislam ili uoe chai maandazi yako na ubani vinatosha kabisa, Ustaadh wapo tu.
Njoo kwenye ukristo sasa, mambo meeengiiii.
🤣🤣🤣🤣🤣 imebidi nicheke!!! I wish you know how old I am. Unaweza kuwa mwanangu!!!😉😉😉Ukishaoa utaelewa. Sasa hivi tulia tu mdogo wangu
In short argument yangu haikuwa kwako personally. Maswali niliyouliza ilikuwa ni general pamoja na kwamba niliandika kama nakuhoji wewe personally.Ukishaoa utaelewa. Sasa hivi tulia tu mdogo wangu
Gharama unaitaka mwenyewe!!! Hakuna mahali popote ukristo umepanga gharama ya kuoaUtofaiti wao ni mdogo sana hawa wengine wao wanaoa ila wanaacha baada ya mwezi na hawa hawaoi maana gharama nikubwa.
HAKUNA KITU KAMA HICHO KWENYE UKRISTO!!! Wewe unachanganya na mambo ya makabila na mila za makabila!!! Huo SIYO UKRISTO. Mambo ya mablankenti ya sijui bibi shangazi has NOTHING TO DO WITH CHRISTIANITYUkiristu huwezi kuutenga na masuala ya kimila, tofauti na uislamu imesimama wenyewe km wenyewe hakuna masuala ya kimila mradi wote wanaonana ni waislamu shekhe anaitwa kuchoma ubani inapigwa dua ya faster faster huku watu wanaopoa mpunga jikoni ndani ya masaa 2/3 ndoa tayari unabeba mwali wako yule unaenda kuishi nae, wakristu ni process za kimila zinahusika blangeti la Babu mkaja wa Bibi na mengene km hayo, hapo ushaambiwa mahari Million 3.5 we unataka useme hata Mahari ya Wakristu ambayo ipo juu kuzidi waislamu haiusiani na ukristu ?
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!
2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.
3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Mafanikio ya kiuchumi then ndoa. Si kujaza mijitu halafu wezi wajae street.Wagalatia wao wamekariri nini?
Retired waeleze hao ndugu yangu kuwa kiasi cha mahari, gharama za harusi HAS NOTHING TO DO WITH CHRISTIANITY.Modern type of life with independent decisions, not that much guided by religion
Ni kweli lakini pia vijana wa Kiislam wanapenda mteremko sana, kila kitu watataka wachangiweNa hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Dini ni nini?Ukristo siyo dini.
Dini kwa Mwenyezi Mungu ni Uislam tu.