Hahaha...Amini upendavyo, Uislam upo kabla ya Adam kuwepo.
Nguzo ya 1 ya Uislam aliyotumia muislam Adam inasemaje? Unaweza kuiweka hapa?
Nb: niliwahi kukuuliza hili swali kwenye uzi mmoja UKALA KONA MAZIMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...Amini upendavyo, Uislam upo kabla ya Adam kuwepo.
Kuna uhusiano wa kuwa na elimu ya juu na kuchelewa kuoa,Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Sasa hiyo mahari ya 3.5M ni ukristo au utashi/utamaduni binafsi?Nenda na 100,000/- kampose mtoto wa Mbonde uone km hujarudishwa unaambiwa kijana mahari ya binti yetu ni million 3.5 hapo bado hujaleta koti la Babu na mkoja wa Bibi, waislamu hawanaga huo ujinga kwanza anaepanga mahari kwa waislamu ni mwanamke anaeolewa sio wazazi wake maana wao mahari ni zawadi ya mwanamke sio zawadi ya wazazi na Ukoo, Ila wakristu mahari ni zawadi ya wazazi na Ukoo wanaendesha Mambo kimila zaidi sio kidini km ilivyo kwa waislamu
Sasa hapo we huoni kuwa waislam ni tatizo?Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Hujui usemacho. Leta utafiti badala ya udini uchwara unaonuka ujinga na upumbavuNa hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nyie role model wenu ni haji Manara mnaoa na kuacha mtavyotakaa na kuacha watoto wakitapakaa kama mayatima1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!
2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.
3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Yaani yanaongelewa na ninayoyaona mtaani tofauti😂😂Wenzetu angalau dhambi ya uzinzi wanaiogopa kidogo.
La Ilaha ila Allah.Hahaha...
Nguzo ya 1 ya Uislam aliyotumia muislam Adam inasemaje? Unaweza kuiweka hapa?
Nb: niliwahi kukuuliza hili swali kwenye uzi mmoja UKALA KONA MAZIMA
Hujamkaba yeyote bali wewe ni katika wale ambao masikio unayo lakini hayasikii, macho uanayo lakini hayaoni, moyoni mwako kuna maradhi...Dini ni nini?
Niliwahi kukukaba kwenye uzi mmoja hivi unipe definition ya DINI ukala kona mazima mpaka leo.
Hukuthubutu kuweka definition ya neno Dini, na wavaa kobazi wenzako nao hawakuwa tayari kabisa kuweka definition ya neno Dini, wakala kona kama wewe.
Kwa hiyo nguzo ya wakati wa Adam ilikuwa ina sehem moja tu ya kumkiri Alah!?La Ilaha ila Allah.
Dini ni nini?Hujamkaba yeyote bali wewe ni katika wale ambao masikio unayo lakini hayasikii, macho uanayo lakini hayaoni, moyoni mwako kuna maradhi...
Nashukuru kwa ufafanuzi😀In short argument yangu haikuwa kwako personally. Maswali niliyouliza ilikuwa ni general pamoja na kwamba niliandika kama nakuhoji wewe personally.
Okay😂, Inawezekana pia🤣🤣🤣🤣🤣 imebidi nicheke!!! I wish you know how old I am. Unaweza kuwa mwanangu!!!😉😉😉
Angalau leo umeongea kitu cha Maana katika maisha yko ya JFVijana Ndoa sio LELEMAMA.
Ndoa sio maigizo.
Usioe kwa sababu Fulani kaoa.
FUNGA NA KUOMBA MUNGU AKUPE MWENZA MMOJA SAHIHI WA MAISHA YAKO.
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.
Mithali 18:22
KUOA MKE ANAYESTAHILI NI BARAKA.
SHELA JEUPE LILIKUWA LINAMAANISHA MWANAMKE BIKRA.
Unaleta mchezo na issue ya Mke mmja? Stress Bora wake wengi.Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.
Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Bora utashi wa dini unaleta ustaarabu na nidhamu kuliko uhuu wa kuamua unazalisha washenzi mtaani.exactly, maisha yao yanaongozwa na utashi wadini na si uhuru binafsi wa kuamua. ndiyo maana hata Mtume (SAW) alioa mtoto wa miaka 9 kwa vile dini inaruhusu
Hicho nikisingizio baada ya kushindwa utetezi,Wakristo wanaozikwa kama manyumbu na mambo ya upako wao wamekariri nini?Auislamu dini ya kukariri wamekariri kuoa
Neno dini kwa Kiswahili linatokana na neno "din" kwa Kiarabu ambalo kwa Kiswahili huwezi kulitagsiri kwa neno moja, kwa kulifafanua lina maanisha "njia ya mfumo wa maisha".Dini ni nini?
Iweke hapa DEFINITION YA DINI.
(hapa nina uhakika 100% utaishia kujizungusha na hutaiweka hiyo definition ya dini)