Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Amini upendavyo, Uislam upo kabla ya Adam kuwepo.
Hahaha...

Nguzo ya 1 ya Uislam aliyotumia muislam Adam inasemaje? Unaweza kuiweka hapa?

Nb: niliwahi kukuuliza hili swali kwenye uzi mmoja UKALA KONA MAZIMA
 
Upande wa huku hauna talaka. Take your time to find/know your soul mate, and build a stable foundation naye kwanza , mkianza maisha ni kwenda mbele tu siyo mnaanza na misukosuko kisha mnatalikiana, huku tunaunganishwa na Mungu mwenyewe kuvumilia shida na kushare raha.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Kuna uhusiano wa kuwa na elimu ya juu na kuchelewa kuoa,
Na ndoa za kikristo ni mkataba wa maisha,sio zile za kiislam kama ya manara,unao asubuh,Jioni unatimua!!
Tunakoelekea ndoa sio kitu kikubwa kiivyo kama ilivyokuwa miaka 20 mpaka ,,30 iliyopita,
Kwa wakristo,kuhusu gharama,yapo makanisa haihitaji sherehe,wewe na mwenzio,Wazazi,mashahidi,soda nne,ndoa inafungwa!!
 
Nenda na 100,000/- kampose mtoto wa Mbonde uone km hujarudishwa unaambiwa kijana mahari ya binti yetu ni million 3.5 hapo bado hujaleta koti la Babu na mkoja wa Bibi, waislamu hawanaga huo ujinga kwanza anaepanga mahari kwa waislamu ni mwanamke anaeolewa sio wazazi wake maana wao mahari ni zawadi ya mwanamke sio zawadi ya wazazi na Ukoo, Ila wakristu mahari ni zawadi ya wazazi na Ukoo wanaendesha Mambo kimila zaidi sio kidini km ilivyo kwa waislamu
Sasa hiyo mahari ya 3.5M ni ukristo au utashi/utamaduni binafsi?

Mahari imeandikwa kwenye Biblia? Kuna agizo kwenye biblia la mahari?
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Sasa hapo we huoni kuwa waislam ni tatizo?
 
Hujui usemacho. Leta utafiti badala ya udini uchwara unaonuka ujinga na upumbavu
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Nyie role model wenu ni haji Manara mnaoa na kuacha mtavyotakaa na kuacha watoto wakitapakaa kama mayatima
 
Dini ni nini?

Niliwahi kukukaba kwenye uzi mmoja hivi unipe definition ya DINI ukala kona mazima mpaka leo.

Hukuthubutu kuweka definition ya neno Dini, na wavaa kobazi wenzako nao hawakuwa tayari kabisa kuweka definition ya neno Dini, wakala kona kama wewe.
Hujamkaba yeyote bali wewe ni katika wale ambao masikio unayo lakini hayasikii, macho uanayo lakini hayaoni, moyoni mwako kuna maradhi...
 
Iweke hapa DEFINITION YA DINI.

(hapa nina uhakika 100% utaishia kujizungusha na hutaiweka hiyo definition ya dini)
 
Vijana Ndoa sio LELEMAMA.
Ndoa sio maigizo.
Usioe kwa sababu Fulani kaoa.

FUNGA NA KUOMBA MUNGU AKUPE MWENZA MMOJA SAHIHI WA MAISHA YAKO.
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.

Mithali 18:22

KUOA MKE ANAYESTAHILI NI BARAKA.
SHELA JEUPE LILIKUWA LINAMAANISHA MWANAMKE BIKRA.
Angalau leo umeongea kitu cha Maana katika maisha yko ya JF
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Unaleta mchezo na issue ya Mke mmja? Stress Bora wake wengi.
 
exactly, maisha yao yanaongozwa na utashi wadini na si uhuru binafsi wa kuamua. ndiyo maana hata Mtume (SAW) alioa mtoto wa miaka 9 kwa vile dini inaruhusu
Bora utashi wa dini unaleta ustaarabu na nidhamu kuliko uhuu wa kuamua unazalisha washenzi mtaani.
 
Dini ni nini?

Iweke hapa DEFINITION YA DINI.

(hapa nina uhakika 100% utaishia kujizungusha na hutaiweka hiyo definition ya dini)
Neno dini kwa Kiswahili linatokana na neno "din" kwa Kiarabu ambalo kwa Kiswahili huwezi kulitagsiri kwa neno moja, kwa kulifafanua lina maanisha "njia ya mfumo wa maisha".
 
Back
Top Bottom