Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

1.MAHARI IMEKUWA GHALI SANA but kwa muslim mahari sio issue sana, ni makubaliano tu na mke, hata msahafu tu unaoa,
2. GHARAMA ZA HARUSI NI KUBWA kwa muslim gharama ni ndogo sana, wali maharage tumemaliza, tunatandika mikeka au tunaazima ya misikitini ndoa imepita

3.DINI INASISITIZA NDOA MNO, Uislam ukifika miaka 30 hukuoa kila mmoja atakushangaa, yaan usihofu kuoa kwa sababu ya hali ya kimaisha "kama Allah alikulisha ukiwa pekeyako basi Allah huyo huyo atakulisha mkiwa wawili au zaidi,
4. Hofu ya zinaa, kwa muslim zinaa ni jambo kubwa na baya kupitiliza, kila mzazi anapambana sana mwanae asiziniwe,
5. KURIDHIKA , most muslim ni watu wa kuridhika na kidogo Allah alichotujaalia, sio lazim uwe na mali nyingi ndo uoe,
 
Ndoa ni hitaji la Kiimani zaidi kwa wenye Imani ya dini zote iwe Muislamu ama Mkristo.

Wenzetu Waislamu ndoa imerahishishwa mno, kuanzia kwenye kuoa hadi Kuachana.

Nina rafiki yangu, alimwacha Mke wake kwa Kumwambia Nakuacha mara 3 na Mke akawa ameachwa.
Kwenye uisilamu ndoa sio adhabu ndio maana wakati wa kufungishwa ndoa tunaambiwa kuwa tumekuozesha kwa wema hikibidi kuachana muachane kwa wema

Katika uisilamu talaka ni ukombozi kwa moja wa mwanandoa anae kandamizwa na mwenzie ndio maana unaweza ona mtu kudhoofika baada ya kuachana mtu mambo yake yanakuwa mazuli

Uisilamu unatambua kuwa kila kitu kina mwisho hata ndoa hina mwisho wake hata haya maisha yana mwisho

Kutengana viumba kila mtu mchana hanaenda kwa Hawara yake anazini weee kisa heti kuwaficha watu hiyo ni tabia ya kikafiri ndoa ikifika mwisho kila 1 achukue muda wake akatafuta hanae mpenda
 
1.MAHARI IMEKUWA GHALI SANA but kwa muslim mahari sio issue sana, ni makubaliano tu na mke, hata msahafu tu unaoa,
2. GHARAMA ZA HARUSI NI KUBWA kwa muslim gharama ni ndogo sana, wali maharage tumemaliza, tunatandika mikeka au tunaazima ya misikitini ndoa imepita

3.DINI INASISITIZA NDOA MNO, Uislam ukifika miaka 30 hukuoa kila mmoja atakushangaa, yaan usihofu kuoa kwa sababu ya hali ya kimaisha "kama Allah alikulisha ukiwa pekeyako basi Allah huyo huyo atakulisha mkiwa wawili au zaidi,
4. Hofu ya zinaa, kwa muslim zinaa ni jambo kubwa na baya kupitiliza, kila mzazi anapambana sana mwanae asiziniwe,
5. KURIDHIKA , most muslim ni watu wa kuridhika na kidogo Allah alichotujaalia, sio lazim uwe na mali nyingi ndo uoe,
Hii ina-make sense..
 
Naam.

Bado sijajibiwa.

Narudia.

Kwani kuoa lazima?

Huyo Yesu mwenyewe hakuna rekodi kwamba alioa, sasa utalazimishaje wafuasi wake waoe?
Kama hamtaki kuoa kwa nini mnazini ??au nyiyi mashoga sababu shoga hataki kuoa
 
christians wengi wanaiishi dunia, waislamu wengi wanamuogopa sana Mungu na kila kilichopo kwenye Koran.
 
tuendako miaka mingi mbele wakristo wengi watabaki bila dini na waislam watazidi kuwa wengi sana duniani.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Simple tu hapa,
Kiislam ili uoe chai maandazi yako na ubani vinatosha kabisa, Ustaadh wapo tu.

Njoo kwenye ukristo sasa, mambo meeengiiii.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Utofaiti wao ni mdogo sana hawa wengine wao wanaoa ila wanaacha baada ya mwezi na hawa hawaoi maana gharama nikubwa.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Si jambo la kushangaza kwa vijana wa Kiislam kuoa hata kama hawana uwezo, hata hapa majuzi kuna sheikh mmoja alitoa ahadi ya kuoza vijana wa Kiislam wasio na uwezo na wengi walijitokeza. Kiufupi, vijana wa Kiislam hawana malengo na maisha, mtu anaoa akitegemea mchango wa watu ili aishi, Wakristo hawako hivyo.
 
Kinachokwamisha vijana wa kikristo kuoa ni mahari tu unaambiwa simple tu utoe mahari mil 3 ?
Kwa waislamu elfu 50 tu unachukua jiko
Mtu anafunga ndoa kwa uji wa chumvi baada ya wiki mwanamke anadai talaka au jibaba analeta mke wa pili huku hana kazi.
 
Ndoa za kikristo
Gharama ya magali
Gharama ya kufanya sherehe
Mkataba wenyewe wa ndoa ulivyo
Haya matatu ndo chanzo cha kufanya vijana wengi wa kikristo wasioe mapema
Usichanganye mambo binafsi na ukristu. Hakuna mahali popote kwenye ukristu unaambiwa ukitaka kuoa ni LAZIMA ulipe mahari kubwa. Hakuna mahali popote kwenye ukristu imefundishwa kuwa ukioa ni LAZIMA ufanye sherehe kubwa yenye kuhusisha magari mengi. Huo ni uamuzi binafsi. It has NOTHING to do with christianity!!! Wake up you kids!!!
 
Back
Top Bottom