Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Iko hivi tatitizo watu mnashindwa kujua nini maana ya Uisilamu,tafsiri yake ni kujikabidhisha au kunyenyekea kwa Mungu wako Mmoja ambaye hakuzaliwa wala kuzaa, Tofauti na dini zingine ambazo zimepewa majina na watu,mfano Ukristo,hili jina limetungwa na watu,sababu hata Yesu mwenyewe hakuwahi kutamka ukristo.Uyahudi ni jina la kibila kam vile uchaga

Lakini uisilamu ni jina aliloliasisi yeye mwenyewe Mungu,ndiyo maana mitume wote walijikabizisha kwa Mwenyezi Mungu wakiwa wanamuamini na kumuabudu yeye peke yake,huo ndiyo unaitwa Uisilamu
 
Hakuna mahali ambapo ukristo umetamka kuwa mahari ni sehemu ya sala, hakuna! Hizo ni invention zetu sisi, mordern life na si ukristo
Ibrahim alitoa mahari wakati Isaka anaoa kupitia yule mtumwa wake.
 
Ni lijua tu huyu mpuuzi lazima ajitokeze na quotation za Quran asio zielewa.......msipoteze mda nae... "fikurubihim maradhuni fadhadahumu llahi maradhani....."


MTUME Mohamed anasema.

Hakika muumini wa KWELI hawi ni mwenye kuwatuhumu watu, Wala KUWALAANI watu, Wala hawi na maneno Machafu"

Musnadu Ahmad JUZI 1 ukurasa 426

BIBLIA INASEMA.

4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Mithali 26:4



SIJUI NIKUWEKE KUNDI LIPI KWA MUNGU HAUPO KWA SHETANI HAUPO......?????
 


UNAULIZWA nyanya UNAJIBU kitunguu tutaenda hivyo hivyo Hadi uelewe.....



ANGALIA HAPA JINSI QURAN INAVYOMSHUHUDIA MUNGU KUWA HAKUMYUMA MTUME ILA ALIKUWA SHAHIDI .

.QURAN 4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

1. JE HAO WALIOMTUMA MWAMEDI NI AKINA NANI....????

2. JE MUNGU ANAWEZAJE KUWA UPANDE WA SHAHIDI WAKATI YEYE NDIYE AMEMTUMA??????

3. SHAHIDI ANAKUWA NI THIRD PARTY AU FIRST???


TUNAWAAMBIA HAYA ILI MUIJUE KWELI.
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.

Umenena vyema
 
Dini ni njia ya kweli? Ni kamusi gani ina hiyo definition?

DINI NI NINI?
RELIGION NI NINI?

Nikifungua Kamusi/Dictionary, itaniambia Dini ni nini?
Nataka uweke hapa DEFINITION ya neno Dini.
 

JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.


HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????


Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni


وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
 
WAISLAMU MUNGU ALIUMBA ADAMU NA HAWA TU WAWE MWILI MMOJA.
MKE NA MUME.


Nyie MNADANGANYWA na shetani kuwa mtaikuta mito ya pombe na Bikira 70.

TAZAMENI NIMEKWISHA KUWAONYA.



Na NYINYI wakristo msichanganye UKRISTO na Mila za makabira YENU.

JARIBUNI KUTOFAUTISHA KATI YA NDOA.

HARUSI.

MAHALI.

MSICHANGANYE.
 


MTUME WA MUNGU anaweza akaona mtoto wa MIAKA sita???????
 
Hivi bado mnajidanganya mwanamme mmoja kuoa wanawake wanne 4.
Wakati Mwanamke mmoja ana nguvu mara 10 kwa mwanamme mmoja.

Jibu mnalo.
 
Dini ya mnyazimungu [emoji81][emoji81]in shekhe mudi voice kwaiyo ndoa bila kutumia lugha yenu hai fungwi hadi mtumie kiarabu nyie pimbi
 
Katika shirika ulilo ajiriwa katika shirika unalofanya kazi😂😂😂😂 acha kujieleza sana hamna kitu hapa kamba tupu
 
Ingawa ni MTU wa Mara... Nimekulia Tanga na Mtwara kabla ya kuanza safari ya masomo ya juu ...nakuhakikishia "vijana wa kiislamu wengi wanao Ramadhani na kuacha n wengi wao ni ni Singles"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…