Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Iko hivi tatitizo watu mnashindwa kujua nini maana ya Uisilamu,tafsiri yake ni kujikabidhisha au kunyenyekea kwa Mungu wako Mmoja ambaye hakuzaliwa wala kuzaa, Tofauti na dini zingine ambazo zimepewa majina na watu,mfano Ukristo,hili jina limetungwa na watu,sababu hata Yesu mwenyewe hakuwahi kutamka ukristo.Uyahudi ni jina la kibila kam vile uchagaALAFU UWE UNAFICHA UJINGA WAKO..
HAKUNA NABII AU MTUME ZAIDI YA MOHAMED KWENYE UISLAMU.
UJINGA KATIKA DINI YA MOOD.
QURAN 34.44
QURAN 62.3
Quran 16.43.
Quran 16.125
Hizi Aya zoote zinakiridini/Imani ya UKRISTO na UYAHUDI vitabu vyao vilitanguli kabla Ya uislamu.
WAO WATAKWAMBIA MANABII WOTE NI WAISLAMU. NJE YA QURAN HAKUNA UISLAMU.
MOHAMED ANASISITIZA KUSOMA NA KUAMINI VITABU VILIVYO TANGULIA.
Agano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.
Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.
Ukiwa na akili tu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.
FICHA UJINGA HAKUNA NABII ZAIDI YA MOHAMED KWENYE UISLAMU.
NA UISLAMU AMEKUJA NAO MOOD JAPO SIZANI KAMA ALISLIMU.
Lakini uisilamu ni jina aliloliasisi yeye mwenyewe Mungu,ndiyo maana mitume wote walijikabizisha kwa Mwenyezi Mungu wakiwa wanamuamini na kumuabudu yeye peke yake,huo ndiyo unaitwa Uisilamu