Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

" Kwa upande wa vijana wa kikristo utakuta walio-oa ni vijana watano kati ya kumi "

WAKIOA HAO WATANO INATOSHA MAANA TAYARI WAMETUWAKILISHA VIJANA WA KIKRISTO.
[emoji16]
 
Ukubali na ushoga basi kama hao Western ndio miungu yako unayoifuata inachokifanya,
Wewe itakua kipa katoka sio bure,maana unahara hovyo kama Bata,umeirukia thd kwa chuki ya udini,
Punguza mihemko binti.
ushoga upo sana kwenye jamii za kiislam jaribu kufanya tafiti mikoa ya tanga,mombasa,lamu.zanziba nk
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
wewe huna tatizo. Tatizo ni yule unayemfuata. Acha niishie hapa ingawa inakera sana kumwita mtu kafiri wakati hata maana ya ukafiri/kafiri huijui.
 
MTUME WA MUNGU anaweza akaona mtoto wa MIAKA sita???????
Unajua kwa karne ya leo,usipende kukiuliza kitu kama vile mtoto mdogo,kiuulize kwa mapana zaidi na yenye faida yake
Kwanza nataka kukupa somo la ndoa,Tumeambiwa tuowe wanawake ambao wako tayali kwa kuingiliwa,Maama yake, amevunja ungo,huambatana na matiti ya kunyonyesha,Sasa mtume Muhammad(S.A.W)alimuowa bi Aisha,mtoto wa rafiki yake Abubakar akiwa Makka,akiwa mdogo,na Uisilamu unaruhusu,akaenda kuanza kumuingilia Madina akiwa ameshafikisha hiyo stage. Siyo miaka 18 huo ni ujinga tuliorisishwa na wazungu, na huyo bi Aisha ndiye mwenye Elimu kubwa kuliko wanawake wote wa Kiisilamu,hadithi myingi zimetoka kwake sababu ameolewa akiwa bado mdogo na Mtume Muhammad na amekufa akiwa na miaka mingi,sasa wewe kuanzia leo kama unasoma hadithi za kiisilamu sijui kama za mjinga mmoja humu anasemaga sijui Mtume Muhammad alifanya nini kwa muzihaki,siyo kila mtu anayajua maisha yake,huyu mama ndiyo anayajua maisha yake vizuri kabisa
 
Kwa Waislam kuoa haraka haraka na kuacha ,ni sehemu ya mazoezi ya kwenda kukutana na bikra 72.
 
Hivi bado mnajidanganya mwanamme mmoja kuoa wanawake wanne 4.
Wakati Mwanmke mmoja ana nguvu mara 10 kwa mwanamme mmoja.

Jibu mnalo.
Sijui wewe uliyeuliza hili swali ni Mume au Mke,ngoja tukupe hekima yake,aliyetuumba ni Mungu,na ndiye anayetuamuru tuoa hao wanawake maana anatujua vizuri

Na kinachoamrishwa kuowa ni mwanaume awe na uadilifu,ni pamoja na nguvu za kiume,uwezo wa kuwatunza,
Sasa sijui mwenzangu kama wewe ni Mme halafu mke wako kila siku huwa anakulazimisha kumpa unyumba halafu unalalamika umechoka usijaribu,utaoleya wenzako.

Na vilevile kama unanguvu nyingi halafu mke wako huwa analalamika kama unamfanya yeye malaya,hapo ndiyo unatakiwa uongeze mke,siyo uwe na kimada inje
 
ushoga upo sana kwenye jamii za kiislam jaribu kufanya tafiti mikoa ya tanga,mombasa,lamu.zanziba nk
Umeelewa nilichokiandika?

I meant aukubali ushoga rasmi kama hao anaowafuta kwenye lifestyle zao.
 
Huyu ndio aliokuwa anampiga makofi Mudi? na kumpelekesha?
 


Kwahiyo ahadi ya mito Ya ulevi pombe na ma bikra 70 ni Uongo???......


SHETANI Hana zuri
 
Huyu ndio aliokuwa anampiga makofi Mudi? na kumpelekesha?
Ebu elezea vizuri, hili jukwaa linasomwa na watu wengi tofauti na wenye elimu tofauti, ambao wako tayali kuelekezwa, Sasa sijui kama,ukiandika kitu, ukaona kama watu wote wanaakili au ueleo kama wako, ni ngumu kukuelewa
 
Kwahiyo ahadi ya mito Ya ulevi pombe na ma bikra 70 ni Uongo???......


SHETANI Hana zuri
Wewe ndugu yangu tena hilo jina la mkoa wa kaskazini mwa Mozambique umelikosea kuandika haliandikwi hivyo, andika CABO, pili nimeshakupa kitabu cha kusoma, naamini ungetulia ukasome utapata ukweli wote
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…