Unajua kwa karne ya leo,usipende kukiuliza kitu kama vile mtoto mdogo,kiuulize kwa mapana zaidi na yenye faida yake
Kwanza nataka kukupa somo la ndoa,Tumeambiwa tuowe wanawake ambao wako tayali kwa kuingiliwa,Maama yake, amevunja ungo,huambatana na matiti ya kunyonyesha,Sasa mtume Muhammad(S.A.W)alimuowa bi Aisha,mtoto wa rafiki yake Abubakar akiwa Makka,akiwa mdogo,na Uisilamu unaruhusu,akaenda kuanza kumuingilia Madina akiwa ameshafikisha hiyo stage. Siyo miaka 18 huo ni ujinga tuliorisishwa na wazungu, na huyo bi Aisha ndiye mwenye Elimu kubwa kuliko wanawake wote wa Kiisilamu,hadithi myingi zimetoka kwake sababu ameolewa akiwa bado mdogo na Mtume Muhammad na amekufa akiwa na miaka mingi,sasa wewe kuanzia leo kama unasoma hadithi za kiisilamu sijui kama za mjinga mmoja humu anasemaga sijui Mtume Muhammad alifanya nini kwa muzihaki,siyo kila mtu anayajua maisha yake,huyu mama ndiyo anayajua maisha yake vizuri kabisa